Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari za msafara wa Namba 1 zinaweza kata huo mudaKuna jamaa alishaweka ya 4hrs, Jamatini Dom - Ubungo mataa. VXR V8
Duh sijatoka tangu Easter dadeq....! Hata Bagamoyo
Huyo hapo mkuuView attachment 1821857
Hata kapicha ka mnyama aliekufikisha huko salama mkuu...
Nipo Mtendele hapa bidae naanza safari ya wilaya ya MilimaniAnaepita Tanga Kesho company ipo hapa [emoji28][emoji28]
Can’t wait after months nasafiri tena
Nimekosa mpaka usingizi (kama enzi za utotoni)[emoji28]
Nipo Mtendele hapa bidae naanza safari ya wilaya ya Milimani
Zile tena 😀😀😀😀 zinasafishiwa njia kabisa na nina hisi huwa zinatembea 200kmhGari za msafara wa Namba 1 zinaweza kata huo muda
Road trip zinaendelea mkuu...kuna jamaa wawili Holy Man na ISO M.CodD tangu thread imeanza wamelala kwao siku tatu nyingine zote wako barabarani!Dah hii sredi tangu Xmas 🎄 mpaka sasahivi bado inatembea Haaaa Jf kiboko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Road trip zinaendelea mkuu...kuna jamaa wawili Holy Man na ISO M.CodD tangu thread imeanza wamelala kwao siku tatu nyingine zote wako barabarani!
Duh aiseeRoad trip zinaendelea mkuu...kuna jamaa wawili Holy Man na ISO M.CodD tangu thread imeanza wamelala kwao siku tatu nyingine zote wako barabarani!
As we speak niko puma nanenane naweka futa niingie Dar. Nimeikosa trip ya Arusha till next time. Narudi mjini.Road trip zinaendelea mkuu...kuna jamaa wawili Holy Man na ISO M.CodD tangu thread imeanza wamelala kwao siku tatu nyingine zote wako barabarani!
ShikamooAs we speak niko puma nanenane naweka futa niingie Dar. Nimeikosa trip ya Arusha till next time. Narudi mjini.