Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mungu akipenda leo jioni jioni naanza safar kutoka ifakara kwenda dom.ni mwendo wa kuvizia magari ya mizigo au private.tusio na gari tunashida sana!
😀😀😀 kuna siku nimetumia kama saa moja na nusu kutoka ifakara hadi mahenge, niliamua kuimuza gari na zile lasta 😀😀😀.. nilikuwa nawahi sehemu.. ila napapenda sana Mahenge ukiwa juu kule kwenye ifadhi ya ule msitu kutazama kwa chini
 
Nimefika Salama Capital City na baby walker yangu ya ki Japan, jamaa wenye mashine za kijerumani wamentesa njiani, nimewaacha waende zao
IMG_1397.jpg
 
Back
Top Bottom