Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
NitakusindikizaNani anipe kampani twende chogo-handeni kwa machotara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NitakusindikizaNani anipe kampani twende chogo-handeni kwa machotara
Oooooh bas zurura hivyo hivyo, upoteze stress zote.Kwa jinsi nilivyokuwa, nimeanza kupenda Safari..ningekaa sehemu moja hadi sasa ningekuwa nishachizika kwa stress.
Oooooh hapo cha-cha, wapi hiooh cc [emoji7][emoji7]+1,Naongeza mwaka mwingine nikiwa road.
Trip yangu ni nzuri .
UMENIBARIKI Mungu [emoji3059][emoji120]
Hbd to me .
Nyang'oro,U_turn za kutosha hadi raha gari inavyokunja hizi kona.View attachment 1825175View attachment 1825177View attachment 1825178View attachment 1825179
Kuna picha zenye ukijani zimegoma ku upload ..naona sababu ya mtandao kuyumba njiani.Mbona hamna greenish? Hii nchi nzuri sana
Oooooh kanda ya home hiyo [emoji7][emoji7][emoji7]Kuna picha zenye ukijani zimegoma ku upload ..naona sababu ya mtandao kuyumba njiani.
Ngoja niweke hizi za Iringa.View attachment 1825230View attachment 1825231View attachment 1825234
[emoji2956]Nimetoka Dom.Oooooh hapo cha-cha, wapi hiooh cc [emoji7][emoji7]
Nyanda za juu kusini[emoji3059]Oooooh kanda ya home hiyo [emoji7][emoji7][emoji7]
Hakika [emoji3059]Oooooh bas zurura hivyo hivyo, upoteze stress zote.
Heri ya siku ya kuzaliwa, mwenyezi Mungu akupe maisha marefu yrnye baraka.+1,Naongeza mwaka mwingine nikiwa road.
Trip yangu ni nzuri .
UMENIBARIKI Mungu [emoji3059][emoji120]
Hbd to me .
Nyang'oro,U_turn za kutosha hadi raha gari inavyokunja hizi kona.View attachment 1825175View attachment 1825177View attachment 1825178View attachment 1825179
Yaani ilinichosha sana sina hamu nayo[emoji856] .Don't speak louder....Ila ipo kwenye matengenezo, Jana nimetoka Dom saa nne na nusu usiku Nimefika Iringa saa Tisa kasoro na ist.
Amen akhsante bro[emoji120]Heri ya siku ya kuzaliwa, mwenyezi Mungu akupe maisha marefu yrnye baraka.
Ooooooh hapo sasa wee zurura uwezavyo yaan.Hakika [emoji3059]
Wiki hii nitakuwa na trip nyingine ndeefu.
Yeaaaah kanda ya home, milima na mabonde yanasadifu vilivyo.Nyanda za juu kusini[emoji3059]
Tunaitambua kwa Milima,
View nzuri mno.
Wapi hio now?[emoji2956]Nimetoka Dom.
Mvua zikinyesha kule usipeleke gari
Katika sehemu ninayoipenda Iramba ni Ndago Ardhi yake ni nzuri mnoo
Mvua zikinyesha kule usipeleke gari
Katika sehemu ninayoipenda Iramba ni Ndago Ardhi yake ni nzuri mnoo
Hongera kwa kumbukumbu yako nikuombee kwa mola uwe na mwaka mwingine wenye baraka ,fanaka na afya tele+1,Naongeza mwaka mwingine nikiwa road.
Trip yangu ni nzuri .
UMENIBARIKI Mungu [emoji3059][emoji120]
Hbd to me .
Nyang'oro,U_turn za kutosha hadi raha gari inavyokunja hizi kona.View attachment 1825175View attachment 1825177View attachment 1825178View attachment 1825179
Mhh !!!!?kwa afya sio njema ila hongera koz u made it safely,ila bikers huwa mna roho ngumu sijui mnazitoaga wapi 😀😀😀View attachment 1825181after service, testing my beemer, with one hand taking video. hizo zinazosomeka juu ni MPH na chini KPH
Mvua zikinyesha kule usipeleke gari
Katika sehemu ninayoipenda Iramba ni Ndago Ardhi yake ni nzuri mn
Amen[emoji4]Hongera kwa kumbukumbu yako nikuombee kwa mola uwe na mwaka mwingine wenye baraka ,fanaka na afya tele