Aaahahahahhaaa umenikumbisha....
Kwenye double lane, kuna gari zinalazimisha kuovateki, fikiria nimefunga vioo lakini unasikia mlio wa gari yake inavolalamika kuwa zaidi ya hapo ntapasuka mapafu ila dereva anaendelea kukanyaga wewe tuu [emoji28][emoji28][emoji28].
Kwa kuionea huruma gari naamua kuachia mafuta apite halafu kama km 2 mbele unampita kama amesimama [emoji38][emoji38].
Sasa unafanyaje, huwezi kumbeba njia nzima akubaliane tuu na hali halisi yake aahahahaha. (Its more of a joke than reality ehehehe).
Halafu nimepata swali, hivi inakuwaje baadhi ya magari hata ukanyage vipi mafuta mshale unaishia spidi 120 wakati kisahani kina 180?
Ni kwamba gari mbovu, kisahani feki au ndo fundi juma keshafanya yake.
Ilinikuta hii mkoa flani na gari ya kukodi.