Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

KWANZA SHOCKUP ZAKE NI ZA BOOSTER - GARI INAPANDA NA KUSHUKA. NIKIONA NAKARIBIA SIJUI BARABARA YA VUMBI NABONYEZA TU MZIGO UNAPANDA JUU. HAIJAWAHI KUKWARUZA . MZIGO HUO HAPO MTONGWE. INABIDI SIKU MMOJA NIKTAFUTE TUPIGE DAR ARUSHA KONDOA DODOMA MORO DAR JUST FOR FUN. AU DAR ARUSHA BABATI KATESH SINGIDA DODOMA MORO DAR. MVUA IKINYESHA WIPER ZINAPIGA ZENYEWE MVUA IKIZIDI WIPER ZINAJIONGEZA ZENYEWE. MJAPAN NOMA. PIA INA APP. UKIPAKI SEHEMU INAKUTUMIA UJUMBE KWENYE SIMU KWAMBA UMEPAKI SEHEMU FULANI SAA FULANI NAKAMA HUKUMBUKI UMEPAKI WAPI ITAKUELEKEZA KWENYE SIMU ULIPOPAKI GARI YAKO. NOMA

View attachment 1838087

View attachment 1838097

View attachment 1838098

Weeh, tubadilishane kuendesha magarii....😋😋😋

Ila ikifika service, kulipa insurance na kuweka mafuta kila mtu anahudumia gari lake ...😜😜

I love you too Majesta 😅.
 
Baba Bataringaya, unahusika kunipatia chai ingine maana hii iliyokuwa kwenye chikombe imemwagika kwa kucheka ...😆.

Kwahiyo wanakanyaga nusu pedeli mafuta yaende kiduchu?
Nusu? Unaigusa tu juu juu na ni kweli unapata km nyingi kwa lita ila ni mateso. Raha ya gari ujiachie uendeshe kawaida tu si kwa mawazo.
 
Baba Bataringaya, unahusika kunipatia chai ingine maana hii iliyokuwa kwenye chikombe imemwagika kwa kucheka ...😆.

Kwahiyo wanakanyaga nusu pedeli mafuta yaende kiduchu?
Nusu? Unaigusa tu juu juu na ni kweli unapata km nyingi kwa lita ila ni mateso. Raha ya gari ujiachie uendeshe kawaida tu si kwa mawazo
 
Raha ya gari kanyaga, usikie ule mlio wa kibabe 😀😀😀

Aaahahahahhaaa umenikumbisha....

Kwenye double lane, kuna gari zinalazimisha kuovateki, fikiria nimefunga vioo lakini unasikia mlio wa gari yake inavolalamika kuwa zaidi ya hapo ntapasuka mapafu ila dereva anaendelea kukanyaga wewe tuu 😅😅😅.

Kwa kuionea huruma gari naamua kuachia mafuta apite halafu kama km 2 mbele unampita kama amesimama 😆😆.

Sasa unafanyaje, huwezi kumbeba njia nzima akubaliane tuu na hali halisi yake aahahahaha. (Its more of a joke than reality ehehehe).

Halafu nimepata swali, hivi inakuwaje baadhi ya magari hata ukanyage vipi mafuta mshale unaishia spidi 120 wakati kisahani kina 180?

Ni kwamba gari mbovu, kisahani feki au ndo fundi juma keshafanya yake.

Ilinikuta hii mkoa flani na gari ya kukodi.
 
Aaahahahahhaaa umenikumbisha....

Kwenye double lane, kuna gari zinalazimisha kuovateki, fikiria nimefunga vioo lakini unasikia mlio wa gari yake inavolalamika kuwa zaidi ya hapo ntapasuka mapafu ila dereva anaendelea kukanyaga wewe tuu [emoji28][emoji28][emoji28].

Kwa kuionea huruma gari naamua kuachia mafuta apite halafu kama km 2 mbele unampita kama amesimama [emoji38][emoji38].

Sasa unafanyaje, huwezi kumbeba njia nzima akubaliane tuu na hali halisi yake aahahahaha. (Its more of a joke than reality ehehehe).

Halafu nimepata swali, hivi inakuwaje baadhi ya magari hata ukanyage vipi mafuta mshale unaishia spidi 120 wakati kisahani kina 180?

Ni kwamba gari mbovu, kisahani feki au ndo fundi juma keshafanya yake.

Ilinikuta hii mkoa flani na gari ya kukodi.
Inawezekana wameweka speed limit kwenye hilo gari. Mfano kisahani kinasoma 250kph ila ukikanyaga inaishia 240kph. Kuna nchi wana hizi sheria.

Au engine ya gari haina nguvu ya kutoboa 120kph. Au inahitaji a very long stretch kutoboa hiyo mark.
 
Back
Top Bottom