Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nimetamani 😍

Maji yana utamu sana ukiyaweza.
Sanaaa yani.. imgn unaogelea zako hapa.. na mazingira mazuri
images.jpeg
 
Yaani amejitahidi sana kunikatisha tamaa.

Kuna siku nilikuwa naongea na dogo mmoja,,ni Mwalimu wangu wa praise kanisani,akawa anasema yaani dada ukiwa kwenye tamasha,ukashushia na glass yako ya wine basi mambo burudani.

Nikajishangaa jinsi nilivyo nyuma ya wakati..
Hadi Mwalimu wangu anakunywa wine,mimi sijawahi.

Nitajaribu.
Hahaha wine sio pombe nilivyokaririshwa. Mbona Mjini Kana mvinyo ulitumika?

Kuna namna wine is accepted & blessed
 
Back
Top Bottom