Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
😀😀😀 siondiki, nimeisha chukua na hotel. Nikitoka garage nikulala hadi kesho alafajiri ndio naamsha nikiwa mwepesi..Uza mechi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀 siondiki, nimeisha chukua na hotel. Nikitoka garage nikulala hadi kesho alafajiri ndio naamsha nikiwa mwepesi..Uza mechi
Duh pole sana mkuu. Usingizi ukiku tight ni mbaya kupitilizaMwenzio yalinikuta. Nimetoka mbali vizuri na alphad ile naianza kibaha nikawa nahisi usingizi ila nakazaa macho nasema nimesha fika hapa ntalala home. Kufika kibamba nikapiga mapipa yale ya ujenzi wa barabara kumbe nilisha sinziaaaa kitamboo. Mguu wa kushoto mbele na bumper vili ishia pale. Confortability ya gari huongeza raha ya kausingizi.
Sump ya engine au gearbox oil?Siku mbaya mbaya tu hii, nimeingia sehemu flani nimechana sample dah [emoji852][emoji852][emoji852]..
EngineSump ya engine au gearbox oil?
Asante jirani
Nipo dagaa dagaa hapa, karibu
All the best chief.Mkuu acha tu
Tuombeane, mambo yaende kama yalivyo
Kipande cha ule mlima mkali unaotizama bwawa la chumvi kimewekwa lami, unapokaribia kuingia Bashnet. Kwingine ni rough road iliyoshindiliwa.
Tanzania ni nzuri jamaniVitunguu swaumu.... kwenye hili bonde ukitaka kupata network mpka upande juu ya mlima.
View attachment 1851365View attachment 1851368
Hasa mfukoni ukiwa vizuriHaya mazingira ukiamka asubuhi unajisikia raha sana.
Tuombeane bull ipate targetAll the best chief.
Huko ndo kuna matumizi sahihi ya trucks.
Sebuleni kwanguAll the best chief.
Huko ndo kuna matumizi sahihi ya trucks.
Ndio tumenaliiza sasa, natoka garage 🥲🥲🥲.. nikalale tuDuh pole sana. Inachomewa vizuri Tafuta wataalam
Toyota Cresta GX100 ataikuta Iko kwenye hali nzuri kabisa.du itakuwa imechoka sana kwa million tatu. ongeza mbili upate gari ya maana kidogo
Niko karibu na Bashnet, wana bus moja tu Bashnet Coach. Ukilikosa hilo saa 1 asubuhi ndio mpaka kesho.Last time kulikuwa na Bus za kusubiria sijui ni Jesus love au nimesahau jina
Kulikuwa na pisi kali za kutosha
Mpaka iwe collector's itemZenye hali nzuri, zimenyooka,hazijabondwabondwa huwa haziuzwi. Ninayo imenyooka haswa hata 5m siuzi. Inshort haiuzwi.