Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kama wagonjwa wa ukimwi utasema walitunza afya ,figo,liver
MTU ambaye siwezi sema hakutunza afya ni aliyelala kwasababu ya ajali

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Unafikiri wote waliopata ukimwi ni kwichi kwichi ? Mawazo mabaya haya.. kuna watu tumepata HIV kwenye ajari, utotoni kupitia vitu tunavyo chezea, wengine tumepata kupitia wazazi.. so punguza speed 🥸🥸
 
Sawa
Kupata nguvu kazi yenye nguvu TZ badosana kama ehivo tunazaliwa nao nakukua nao

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kuna watu tuliwahi poteza ndugu kwa maradhi ya figo na walitunza afya zao vizuri tu.
Unapokuwa mzima wewe mshukuru Mungu,usianze kusimanga wagonjwa,,huijui kesho yako itakuwaje
Kwahiyo usione kama wengine Ni wajinga kuugua.
Kabla haujafa haujaumbika.
Tunapoona comment yako hii tunajisikia vibaya..unatukumbusha machungu yaliyopita miaka hiyo.
.
.
.
.
Halafu reply yako mbona kama haiendani na comment ya jamaa pale juu!?!

Jamaa amesema kukaa mahala pamoja panachosha,wewe unasema tunza afya zenu[emoji1745]

Au ni mimi sijaelewa!?[emoji848][emoji1745]
samahani

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Sawa
Kupata nguvu kazi yenye nguvu TZ badosana kama ehivo tunazaliwa nao nakukua nao

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Nguvi kazi ipo , shida ni matumizi ya sahihi y akili. Tupo waathirika ambao tuna tija kwa taifa kuliko au wasio waathirika.. tanuka bongo hiyo.. usiwe na matumizi mabaya ya akili kwa mawazo mabaya kama hayo 🙂🙂🙂
 
Kama wagonjwa wa ukimwi utasema walitunza afya ,figo,liver
MTU ambaye siwezi sema hakutunza afya ni aliyelala kwasababu ya ajali

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Ndugu yangu Una safari ndefu. Hivi unajua njia zote zinazoambukiza ukimwi? Kidney failure zote ni sababu watu hawakutunza afya? Mshukuru Mungu umezaliwa na organs zote ziko vizuri.
 
Si ni heri nipande gari la kabichi 😂 kuliko kuwa kwenye huu mwendo.
Kama haka alafu uwe chini ya 250 kutafuta nini 🙂🙂🙂

BK032241_a028c2.jpg
 
Mimi nimeshuhudia dada yangu kabisa wa damu figo zinafeli from no where na akaondoka,na alikuwa na afya nzuri tu.
Usifikiri alikuwa mjinga.

Kamuombe Mungu msamaha.
.
.
.

Nakusalimu kwa jina la road,Wewe unajibu trip ziendelee[emoji4][emoji1635]
Acha utoto
Tuzeni afya narudia maranyingi watanzania huficha maradhi
Unakiliwazi kwamba ulimwona Dada ako sijui mdogowako anakonda kumbe mgonjwa figo
Inamanisha wewe nafamilia yako mliaza kumwona mwezenu anakonda hizo external factor

Lakini yeye usikute miaka yote anaumwa ila anameza dawa zakuondoa infection mwilini
Shida yetu ikohivi mgonjwa husika akiwa tayari ana experience malanzi mwlini mwake hufanya sirisana ndg tunaaza kujua mfano anakonda alivokua ananenepa mlimsifia

Kumbe ananenepeana mwili unashida na yeye ndo anajua

Sasa msamaha wangu naufuta nakwamungu siombi

Tubadilike ,japokua mada haikuhusu magonjwa mbalimbali
Niligusia kwakusema MTU unalalamika kukaa sehemu moja lisaa limoja,nikatoa mfano huo

Inabidi ukaanzishe mada ya namna ya kutunza afya mkuu. Utasaidia wengi, inaonekana una kipaji cha uelimishaji.. usisahau ku nitag boss
 
Back
Top Bottom