Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Safi sana mkuu, ratina nzuri hiyo. Nikitoka hapa naingia kidimbwi home hadi kesho asubuhi 😎Jumapili huwa nakaa home siku nzima ndio siku pekee napumzika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana mkuu, ratina nzuri hiyo. Nikitoka hapa naingia kidimbwi home hadi kesho asubuhi 😎Jumapili huwa nakaa home siku nzima ndio siku pekee napumzika
Siku inaisha chap kwa harakaNi mwendo wa Netflix na football!
Unakeshaje bila kupiga vitu?Safi sana mkuu, ratina nzuri hiyo. Nikitoka hapa naingia kidimbwi home hadi kesho asubuhi [emoji41]
Jumapili huwa nakaa home siku nzima ndio siku pekee napumzika
Unakeshaje bila kupiga vitu?
😎😎 usiku mfupi, siku tungekutana pale bambalaga ungeelewa kwanini tunaweza kesha hata kama hatupigi mambooo 😁😁😋 privacy tu ningekupa tukio hapa ungefurahi na roho yako.. tufanye kazi tu hela zisikate 😂😂Unakeshaje bila kupiga vitu?
Jamaa mtu wa tofauti sana [emoji23]Nilijaribu siku moja nikashindwa
Ngumu sana
Hahaha sawasawa mkuu hilo tukio nitalishuhudia tu Inshallah[emoji41][emoji41] usiku mfupi, siku tungekutana pale bambalaga ungeelewa kwanini tunaweza kesha hata kama hatupigi mambooo [emoji16][emoji16][emoji39] privacy tu ningekupa tukio hapa ungefurahi na roho yako.. tufanye kazi tu hela zisikate [emoji23][emoji23]
Jamaa mtu wa tofauti sana [emoji23]
Ndio hizi za DMDP kwa ufadhili wa WB?Leo nimeenda kijichi mara ya kwanza kabisa.
Mitaa almost yote lami, ila barabara zipo tight vibaya mno.
Ha ha anzia pit-stop kwanza, ukisogea kidimbwi unamalizaSafi sana mkuu, ratina nzuri hiyo. Nikitoka hapa naingia kidimbwi home hadi kesho asubuhi [emoji41]
😎😎 Na kama una msuli naweza nikakupa vibe kuanzia ijumaa to jumatatu bila kulala na huku situumii pombe , wengi huwa nawaacha hoi huku nipo powa kabisaa.. hapa nikimaliza bata zangu zote kesho usiku morogoroHongera sana kwake
Wengine tukisikia Juliana picha ya vilevi inajaa kichwani
noted, nitawakilisha maana huwa nakuwa kama nafanya patrol asee.. ila kidimbwi huwa pa kumalizia maana huwa ni 🔥🔥🔥 kuna matoto mazuri kama yamejiumba au yalimpa muumbaji prototype namna yawe 🥸Ha ha anzia pit-stop kwanza, ukisogea kidimbwi unamaliza
[emoji41][emoji41] Na kama una msuli naweza nikakupa vibe kuanzia ijumaa to jumatatu bila kulala na huku situumii pombe , wengi huwa nawaacha hoi huku nipo powa kabisaa.. hapa nikimaliza bata zangu zote kesho usiku morogoro
Fainali u.....[emoji23][emoji23][emoji23]Enzi hizo kwangu zishapita, sasa hivi ikifika saa tatu tu nishaboreka niko Hoi.