Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kwamba mshua wako haendeshwi kwenye v8 ya kazini leo. Ulihesabu hadi masaa dereva wenu avomwaga vumbi[emoji23]
Hahaaa kwahiyo mkuu ukajiongeza wakati hata sikusema ni nani yawezekana ni mimi mwenyewe [emoji16][emoji16]

Anyway siyo mshua ni bi mdash, mshua alishastaafu anajiendesha mwenyewe tu (tena naye ni mpenzi wa road trip)

Sema sikai na wazee aiseee, huwa naenda kuwatembela mara moja moja saaanaaa
 
Sijui kwanini watu wanaona namba fulani ni kitu cha maana. E nayo itakaa miaka zaidi ya 8 sasa hivi vimeo vyetu si vitakuwa vishachoka kama una nguvu unanunua gari wakati E iko kwenye EGM au EGG
Watu wanaangalia initial tu kuna mtu ukimtajia ni hata kama CZZ anajua lazamani tu na ukamtajia DAA anaona mpya sana . Nawatu wanaona dili madalali ndio wame haribu vichwa
 
Back
Top Bottom