Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
huzioni kwani ?Yaani tayari E iko mtaani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huzioni kwani ?Yaani tayari E iko mtaani?
Endelea kuundaNakuundia mkatati ili ujue umo
Au ndio sitofanikiwa kabisaaa niache mpango kaziEndelea kuunda
Mungu akutie nguvuAu ndio sitofanikiwa kabisaaa niache mpango kazi
Anna naeeMungu akutie nguvu
Jana na Leo bossAnna naee
Naona wote mnakula bataNgara hapa ngara oil natokea Buju
Chuma inawaka usiku kwa usiku to Dar
Mwanafamilia wa road trip kama upo maeneo haya tusafiri wote free hadi tufike
RRONDO
Vilambasi ni viherehere wana overtake mkabala mizani
Kuzama ndichi ni kuingia na kupima mizani
Pole kwa lugha za Mo town
Safari njema!Ngara hapa ngara oil natokea Buju
Chuma inawaka usiku kwa usiku to Dar
Mwanafamilia wa road trip kama upo maeneo haya tusafiri wote free hadi tufike
RRONDO
Vilambasi ni viherehere wana overtake mkabala mizani
Kuzama ndichi ni kuingia na kupima mizani
Pole kwa lugha za Mo town
Goma lipo #3 navuka daraja la mto kagera mdogo mdogo..Safari njema!
Mwamba,uwe na safari njemaNaona wote mnakula bata
Tutakiane heri ma mchungaji Saint Anne niombee
@Honet nakukubea matoke ila tu saa 3/4 kesho usiku nitakuwa mitaa ya ofisi yako pale round about
Usipotokea next time
Naianza k9
Pamoja mzazi..Mwamba,uwe na safari njema
Nakuombea sana boss.Naona wote mnakula bata
Tutakiane heri ma mchungaji Saint Anne niombee
@Honet nakukubea matoke ila tu saa 3/4 kesho usiku nitakuwa mitaa ya ofisi yako pale round about
Usipotokea next time
Naianza k9
Yaliyo mema na ya sirini hakuna aijuae kesho yakeNakuombea sana boss.
Mungu wangu wa Mbinguni azidi kukujalia yaliyo mema.
Na Mimi pia nakulaga matoki boss [emoji39]
Usafiri salama,Amin.
Mdo mdo mwamba,unasukuma sinotrack au machine ganiGoma lipo #3 navuka daraja la mto kagera mdogo mdogo..
Hakika hakuna ajuae keshoYaliyo mema na ya sirini hakuna aijuae kesho yake
Napanda mdogo mdogo
Nipe kituo cha kupokelea
Scania 420Mdo mdo mwamba,unasukuma sinotrack au machine gani