Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Extrovert umenirejesha kwenye uzi wa kupangua gia barabarani, hasa manyuo gia 😅😅😅.

Mahaba yameniteka bibi mie....!!!!

Nimezubaishwa na Mahaba ya Rotimi na Vanessa...!
Nimejikuta naduwaa nawatizama tuu bila kuchoka 😊.

Kuna video wamejirekodi Vanesa anaanza ....

Baby, baby, baby please please...

Rotimi yuko nooh...!

Tabasamu zao sasa, real smiles I can read from their faces....😍😍

Halafu Vanessa anaanza kuimba...

Wewe ni Alphaa na Omeeegaaa....

Mara Rotimi anadakia na vocal ....

Weeweee ni Alphaaaa na Omeeegaaaa....!!

Kisha Vanessa anaitikia,

Twakabudu Bwanaaa wastahili sifaaa.....

Yaaani am like oooh my...!!!

Love is so real, Mahaba matamu acha nirudi kule nisiwachoshe na malavidavi yangu.

Nimelewa Mahaba hapa mimacho inabembea nusu mlingoti 😅😅😅.....

Sorry Baba Bayaringaya kukatiza Mahaba katikati ya madereva bila ruhisa 😜😜.
 
Ngara hapa ngara oil natokea Buju

Chuma inawaka usiku kwa usiku to Dar

Mwanafamilia wa road trip kama upo maeneo haya tusafiri wote free hadi tufike

RRONDO

Vilambasi ni viherehere wana overtake mkabala mizani

Kuzama ndichi ni kuingia na kupima mizani

Pole kwa lugha za Mo town
 
Naona wote mnakula bata

Tutakiane heri ma mchungaji Saint Anne niombee

@Honet nakukubea matoke ila tu saa 3/4 kesho usiku nitakuwa mitaa ya ofisi yako pale round about

Usipotokea next time

Naianza k9
 
Safari njema!
 
Naona wote mnakula bata

Tutakiane heri ma mchungaji Saint Anne niombee

@Honet nakukubea matoke ila tu saa 3/4 kesho usiku nitakuwa mitaa ya ofisi yako pale round about

Usipotokea next time

Naianza k9
Nakuombea sana boss.
Mungu wangu wa Mbinguni azidi kukujalia yaliyo mema.

Na Mimi pia nakulaga matoki boss [emoji39]

Usafiri salama,Amin.
 
Natamani nihadithie kashkash za kwenye mwendokasi Leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Dah,nikijichanga hela,kitu cha kwanza kununua ni gari hata ka passo tu.
IMG_20210917_182243_9.jpg
 
Back
Top Bottom