Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
New avatar doesn't suit you. Sijakuzoea hivyo dogo.. Ila iko vere good.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaa.Duh mlianzisha lini hii group?
Sikuwahi jua kama na wewe ni mwanachama wa mabaharia...Wanajua kila ukirudi hukosi kurudi na mifuko yenye mazaga mazaga. Mpaka marafiki na majirani zake watakutamani kama huna speed governor unasepa na Kijiji.
Wewe long timeSikuwahi jua kama na wewe ni mwanachama wa mabaharia...
[emoji1751]New avatar doesn't suit you. Sijakuzoea hivyo dogo.. Ila iko vere good.
Ipo tu kawaida Ila hatujakuzoea hivyo...[emoji1751]
Imekaa kimcharuko Sana??
Nilipenda hilo gauni lilivyomwaga chini,,halafu huyo dada modo kama Mimi.
Join tu 😁Hii link yenu inaweza niponza imenifanya nijisahau. Anyway mrejesho nitaleta babadae
I see you!Wewe long time
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ipo tu kawaida Ila hatujakuzoea hivyo...
Mkuu simu yangu hainaga group hata moja, watu kila wakiniunga nina left 😀😀😀Duuh Holy Man mmeunda group kimya kimya
😀😀😀 lazima gari niipigishe shoti nilale nae porini ili tujue mshindi nani 😀😀It seems like 'yaliyomo yamo'.
Mkuu wangu Holy Man akimpa ride huyu mrembo, afu iwe ni manual drive, I bet gear lever haitopumzika. Hala Hala mkono na paja. 😎
-Kaveli-
Ulijua ameweka link ya utani?[emoji1]Sikujua kama ni serious
Hapana Dada yangu, hizi story tu.Sikuwahi jua kama na wewe ni mwanachama wa mabaharia...
Dada kama dada yaani 😀😀Hapana Dada yangu, hizi story tu.