Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hapo.Nani RRONDO
Sijaelewa maana unaongea na rrondoWewe hapo.
Ng’wagokuSijaelewa maana unaongea na rrondo
Unahisi mim mtanga? Mim msukuma
Nimeongea na RRONDO ndiyo. Ila akili yangu uwa inaniambia wewe ni mtanga sijui kwanini... That's why niliposema nikajifunze kuandaa maji ya kuoga yenye hiriki nikakutag.Sijaelewa maana unaongea na rrondo
Unahisi mim mtanga? Mim msukuma
Ahaaa mim msukuma shogaNimeongea na RRONDO ndiyo. Ila akili yangu uwa inaniambia wewe ni mtanga sijui kwanini... That's why niliposema nikajifunze kuandaa maji ya kuoga yenye hiriki nikakutag.
Eng’washNg’wagoku
😂😂😂Anafikiri huo weupe uko Tanga tu
Unene nale Ngholo.Eng’wash
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Just overrated
Town tripping ziendelee kama za nje hazipo. 😎View attachment 1944983
Kiruuu!Eng’wash
Hayo ni ya kujuzana pm huko na Baghesi wakoUnene nale Ngholo.
Ole wa hale ubebe?
Ha ha! Bagheshi mwanamama!!Hayo ni ya kujuzana pm huko na Baghesi wako
[emoji3][emoji3]
Saa[emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 1945388
Nimetoa leo kesho naweka nyingine [emoji28][emoji28][emoji28]
Waswahili wakisifia kitu Wanatia chumvi Sana,na kukipa uzito usio wake.Just overrated
Kongole kwaoWaswahili wakisifia kitu Wanatia chumvi Sana,na kukipa uzito usio wake.
😂😂😂 Panapo majaliwa ukipita tena ufanye utalii wa ndani mkuu, watu wa Pwani wanapenda kukirimu wageni.Kongole kwao
Wanakizungumza kiswahili vizuri
Nimezoea kuongea na kusikia kiswahili chenye lafudhi za bara[emoji3]
Kwa kuongea kwao vile na ningeendelea kupata wasaa wa kuwepo pale ningejaribu kuonja kama yaliyomo yamo
Dunia sio yetu hii