Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Bima ya ajali na maisha
Kuna bima inatolewa kila ukiweka mafuta na kulipia kwa simu (masterpass,lipa namba ya selcom). Mara nyingi huwa natumia njia hii kulipia mafuta kituo cha Puma, tangu wiki tatu zilizopita napata msg ya bima ya bure. Leo nimei download na kuisoma kweli ni insurance cover ya wiki moja inacover ukipata ajali,ulemavu na kupoteza maisha.
Imagine unasafiri unaweka mafuta na unapata extra cover ya ajali na maisha kwa wiki moja bure, sasa mimi naweka mafuta every week ina maana naweza kuwa na bima bure mwaka mzima.
 
Waswahili wakisifia kitu Wanatia chumvi Sana,na kukipa uzito usio wake.
Kongole kwao

Wanakizungumza kiswahili vizuri
Nimezoea kuongea na kusikia kiswahili chenye lafudhi za bara[emoji3]

Kwa kuongea kwao vile na ningeendelea kupata wasaa wa kuwepo pale ningejaribu kuonja kama yaliyomo yamo

Dunia sio yetu hii
 
Kongole kwao

Wanakizungumza kiswahili vizuri
Nimezoea kuongea na kusikia kiswahili chenye lafudhi za bara[emoji3]

Kwa kuongea kwao vile na ningeendelea kupata wasaa wa kuwepo pale ningejaribu kuonja kama yaliyomo yamo

Dunia sio yetu hii
😂😂😂 Panapo majaliwa ukipita tena ufanye utalii wa ndani mkuu, watu wa Pwani wanapenda kukirimu wageni.

Wakijua ni Mzee wa masafa lazima mtoto wa mtu akung'ang'anie
 
Back
Top Bottom