Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mwisho wa mwaka huu...we have to be extra careful on our roads!
Kweli kabisa, jana nimeondokea njia ya bagamoyo kuikwepa kibaha na mlandizi, na usiku nimeondoka saa tano morogoro natembea mdogo mdogo sina taabu kabisa hiyo ya shinyanga naweza kabisa nika kwea mwewe hadi mwanza alafu basi to shinyanga .. nikishindwa kabisa basi nitaenda tu na gari Trip yangu ya njia hiyo nilikutana na ajari kila sehemu nilipatwa sana na hofu
 
Back
Top Bottom