Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Sawa boss.Ukirudi mbeya nistue
Soon.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa boss.Ukirudi mbeya nistue
Kwanini Tukuyu inakuchekesha mkuu?Buji alishaharibu sehemu ya ufahamu
Nikisoma neno tukuyu[emoji3][emoji3] najikuta nacheka sana
Hata sijui kwanini, habari yako madam[emoji3][emoji3][emoji3]
Spea zinapatika mtaa wa Shaurimoyo jirani na afisi za basi za Raha Leo.Wakuu salama? poleni kwa mihangaiko ya maisha. Nilipotea humu ila yote ni heri ni pilika za maisha.
Jamani I need your ideas, kwa wenye uzoefu, mnaweza kushare moja au mawili kuhusu hii gari ya KIA Sportage? 2012-2013? Hapa kwetu bongo vipi zinahimilika? Do we have good fundis au dealer?
Please share your honest experience! Especially kama kuna aliyewahi miliki au deal na hii gari.
Yaani nahitaji kausafiri lakini ushuru haushikiki kabisa! Kila ninapogusa, hapagusiki....!
Extrovert Mshana Jr Holy Man Hornet Kaveli Karma na wengine wenye neno, tafadhali!!!.
Saa nne usiku ukifika hapo hakuna chakula
Stand ndio tunadhani kuna amsha amsha ndio pamefubaa kama sio kuzubaa
Kuna parking ya truck mkabala na hapo
Singida ni Afadhali ya Manyoni na Misigiri kwa huduma za kibinadam
Nipo napiga road trip za kijijini huku Mwakaleli Tukuyu Mbeya,
Karibu boss.
By definition authority ni rightful of using/ exercising powerUnaweza ukawa na power usiwe na Authority na unaweza ukawa na Authority usiwe na power. Authority na Power vitu viwili tofauti.. Na pesa ni kitu kingine.. But behind ya pesa kuna power
Kuna watu wana power na hawana authority. Na ndio wale wanao kuwa na matumizi mabayaBy definition authority ni rightful of using/ exercising power
So ili na uwezo wa kutumia power lazima uwe na mamlaka nayo( authority).
Mpaka hapo inaharibu maana nzima ya authority and powerKuna watu wana power na hawana authority. Na ndio wale wanao kuwa na matumizi mabaya
na ujue Authority na Power ni tofauti. Mfano mchawi ana Power ila hana authorityMpaka hapo inaharibu maana nzima ya authority and power
Wadau wamepotea sana,Mzee wa majesta ,mwendazake -ndago ,loong time umeuacha uzi kwa muda mreefu,ni kwamba umeamua kuwa na trip za hapa town kama kaka yake saint Anne mzee holy man😁😁😁 ???
Hako kachini kalikovurugwa kama karatasi katakuwa ni ka- IST, daaah huu mzinga sidhani kama huyo wa chini alipona mtu.Tuwe makini
View attachment 1964410
Mmmh kweli kuna scenario zingine zinakuacha mdomo wazi tu, yani jinsi ambavyo hiyo gari imesagika mtu alipona?Kwa mawazo yangu huyu aliovateki akakutana uso kwa uso na Ractis, bus nyuma ya Ractis likashindwa kusimama ghafla likakandamiza Ractis....habari za juu ni kwamba hamna mtu aliepoteza maisha.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]IST zikigongana lazima watashuka vijana waliovaa vibukta
Mwaka 2009 wakati tunatoka babati kuja Singinda tupofika pale Hanang (enzi hizo kuna rough road) majira ya saa saba usiku, tukashangaa kuona malori kama manne hivi yamesimama na tukawa tunasikia kelele ishara ya kwamba hakukuwa na utulivu pale.For long trips, I too prefer night drive.
Changamoto kuu kwa night long ride ni 'magogo'. Ila ipo solution... pack an AK47!
-Kaveli-