Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I love white cars man!Nyeupe ni moja ya rangi classic
Ukishusha mzigo huo nistue nije kutoa nuksi.
Bambalaga nawakilisha 🙂🙂🙂Zinavutia sana
Naupiga mwingii 😀😀😀Aisee we jamaa unatembea sana
Mie nahisi hapa itakuwa sanaaa yani 😀😀😀 maana nina project mkoa wa karibu na hapa lazima nichezeee chezeee hii mitaa karibia mwaka mzimaNitarudi tena...marathon ilinifunga gavana kiaina
Mmmh nitakuwa kikongwe!Najua wewe hata nikipata huu mzigo baada ya miaka 10 bado utakuwa mrembo tu
Hiyo BMW gani? Ila RS6 huyo mdudu ni bad news ila tatizo ni wagon.Bavaria Holy Man
View attachment 2008045View attachment 2008046
BMW imefukuza mpaka imechoka RS6 haikuti
Hapo kwenye jinini..Trip za mjini na kiwango cha joto jinini.
Asante daslam[emoji119]View attachment 2008233View attachment 2008234
Oooh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo kwenye jinini..
Sijaelewa mtakavitu oh sorry mtakatifu[emoji2089][emoji3]
Unasafiri!!??Tuamshe popo kidogoView attachment 2008505View attachment 2008506
Sent using Jamii Forums mobile app