Mlachake
JF-Expert Member
- Oct 13, 2009
- 4,437
- 4,618
Mbeya mkuu.
Dah umenikumbusha karembu na City pub, wale kuku wa kuchoma hatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbeya mkuu.
Walikuwa Wana angalia Kati ya Isuzu kikongwe na Ashok Leyland ipi inamwaga moto.Sasa hapa walikuwa wanashindana hao polisi? Yaani ilikuwa ligi ya police bus?
Next time upige picha mitaa ya Meta Stand na Forest ya Zamani.
[emoji16]
Hapa ndio Meta stand.Next time upige picha mitaa ya Meta Stand na Forest ya Zamani.
Karibu mkuu.Dah umenikumbusha karembu na City pub, wale kuku wa kuchoma hatari sana
Karibu mkuu.
Kuna Mbeya kwetu pazuri Social club pale 8_8 kuelekea Sae,,juzi usiku niliona mafuriko ya ndinga.
Nadhani pia pana kuku wazuri.
Beaco ipo bado mkuu.Jombaa ngoja niweke kwenye ratiba siku mingi sana sijafika huko.
Mara ya mwisho nilifikia Beaco sijui hii kama bado ipo. kiwanja kilikua kitamu sana pale forest mpya.
ngoja tuzichange mjini tuje kula kiti moto ya Vamponj
Nilikuwa na moto wa kuwahi, hivyo sikuzingatia sana kuangalia waliopo. Kama ulioona Veite SU la kijani, basi nilikuwa nimekaa upande huo, karibu na kids’ playground.Haukuona mzee mwenye upara hivi 🥸🥸 mwembamba sanaaa yupo na pisi kaliii tatu 🥸🥸🥸
aaah! Nililiona aseeeNilikuwa na moto wa kuwahi, hivyo sikuzingatia sana kuangalia waliopo. Kama ulioona Veite SU la kijani, basi nilikuwa nimekaa upande huo, karibu na kids’ playground.
Umesikia.Nimesikia hapa dereva wa lori ndio kaonekana na makosa
It's obvious polisi alivunja sheria na dereva lori akagoma kumpisha.Na hio mistari si inazuia ovateki?
Duh! Lile SU nililoliona Cate Hotel!Mwingine huyu hapa.View attachment 2013442
Duuuh jaman lolMwingine huyu hapa.View attachment 2013442
Umesikia.
Ila picha imeonesha nani mwenye makosa.
Wewe unaona hapo nani ana makosa?
Mwingine huyu hapa.View attachment 2013442
Ht huyu drive wa su gxr katumia diffensive driving method ya kutosha vinginevyo wasingetoka, ila drive wa lorry ndio kacheza km pele kuwaachia body waseme nalo. Ajali wamesababisha wao, wameikagua wao, wameichorea mchoro wao na hukumu watatoa wao[emoji848]Mwingine huyu hapa.View attachment 2013442
Huyu driver wa SU alitanua baada ya kuona ile bus ya polisi imetanua. Alipoona brakes za ghafla na honi za ghafla akajua kinaumana huko mbele, fasta akashika barakes huku akimbamiza huyo hiluz ili kuepusha kwenda kuigonga ile bus kwa nyuma. Weak stability ya Hilux ikaleta manufaa kwa SU, maana SU ni heavy weight na Hilux kimbaumbau.Mwingine huyu hapa.View attachment 2013442