Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabungo yako yapo😛😛😛
Chuma inasoma Mafinga mkuu nimeingia hapa juzi.
Na hauwezi kutokea@Manga ML
Una mpango kabambe na hiyo bahati mbaya ?!!
Zipo huko Dodoma.
Tunatafuta mshindi wa mwaka huu 2021 wa kusaga lami. Top 3 kwa mpangilio usio maalum niChuma inasoma Mafinga mkuu nimeingia hapa juzi.
Hii late model kidogo...i think last but oneX trail km subaru duh[emoji848]View attachment 2030172
Kuanzia mwezi wa sita nilichukua gari ikiwa na 52,000km nimekuja kuiachia ikiwa na 76,000km hii kwa mwezi wa saba hadi november 😀😀.. hiyo ni gari one.. gari two nimetembea nayo kama 10,000km, na gari three nimetembea kama km 15,000km hapo.. sasahivi sina trip yoyote natumia usafiri wa umma- public. mwakani mwezi wa kwanza narudi kwenye mchaka mchaka hapo nitakuwa nimepunguza sanaaTunatafuta mshindi wa mwaka huu 2021 wa kusaga lami. Top 3 kwa mpangilio usio maalum ni
1. ISO M.CodD
2. Fursakibao
3. Kijana wa hovyo hovyo
Tuleteeni rekodi zenu tuamue mshindi
gari two nilitumia 10,000km na gari theree 15,000km ndani ya mwaka mmojaMwaka mzima sijafika hizo kilomita!
mda mwingi upo mjini, sie wengine mda wowote unaamsha, hapa nimepumzika baada ya kuachia gari zote.. bila hivyo nilikuwa na route ya Dar Mwanza Tabora Lindi -- ukichapa hizi route kwenda na kurudi una akiba safi ya KM 😀😀😀Average yangu ni 13k kwa mwaka
January gari ilikuwa na 78000 kmTunatafuta mshindi wa mwaka huu 2021 wa kusaga lami. Top 3 kwa mpangilio usio maalum ni
1. ISO M.CodD
2. Fursakibao
3. Kijana wa hovyo hovyo
Tuleteeni rekodi zenu tuamue mshindi
Sasa hivi nimetulia sina trip ya private nimetulia tulii.. nina trip za public hii december mnaweza kunipiku siku bado zipo nyingi sana hapo 😊😊January gari ilikuwa na 78000 km
Leo ina 108000 km and counting. Bado linakula trip, nna kama 5000km expected kabla december haijaisha.
So far 30000km in 2021 , ngoja tuone mwaka utaishaje.
Nadhani Kijana wa hovyo hovyo ataongoza list
Sisi tunalisongesha mkuu vyuma vinakula service then vinalamba lami kurudisha helaSasa hivi nimetulia sina trip ya private nimetulia tulii.. nina trip za public hii december mnaweza kunipiku siku bado zipo nyingi sana hapo [emoji4][emoji4]
Hiki kipindi nipo bench siku nikirudi nitakuwa na mzukaa sanaSisi tunalisongesha mkuu vyuma vinakula service then vinalamba lami kurudisha hela