Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

January gari ilikuwa na 78000 km

Leo ina 108000 km and counting. Bado linakula trip, nna kama 5000km expected kabla december haijaisha.

So far 30000km in 2021 , ngoja tuone mwaka utaishaje.

Nadhani Kijana wa hovyo hovyo ataongoza list
Huyu anaweza kuamua tu akanywe kahawa Morogoro au akale kuku Singida na kurudi Dar!
 
Ha ha ha pole

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Dooh yaani nilivyokumiss hivi nikijua umepotea kumbe ndiyo wewe tunapishana tu jukwaani kila siku. Nilikuwaga najiuliza tu huyu dada kapotelea wapi siku hizi jamani.

Imebidi nirudi pm kwenye ule mjadala wa siku ile ndiyo kukuta jina limebadilika. Sema umejitahidi kubadili na mwandiko aisee maana nilishindwa kabisa kukutambua yaani.
 
Ha ha ha pole boo. Watu wanaleta mazoea dia ndo maana nimebadilika.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
mda mwingi upo mjini, sie wengine mda wowote unaamsha, hapa nimepumzika baada ya kuachia gari zote.. bila hivyo nilikuwa na route ya Dar Mwanza Tabora Lindi -- ukichapa hizi route kwenda na kurudi una akiba safi ya KM 😀😀😀
Na wewe shujaa! Unaachiaje gari zote mara moja?
 
Back
Top Bottom