ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Unawatafuta watu ubaya [emoji23][emoji23]January full tank challenge [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawatafuta watu ubaya [emoji23][emoji23]January full tank challenge [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah![emoji23][emoji23] unazipigaga saa ngapi hizi picha? Mbona sijawahi kukufuma?
Unakuta mtu anatoa elfu 5 huku amenyosha macho kwenye usukani..hataki hata kugeuka yaani.Unawatafuta watu ubaya [emoji23][emoji23]
Majuzi niliweka mafuta ya 5,000.Wengi wa elfu 5 na elfu 10 wenye magari wanakuja wakiwa na gubu tayari.
Wachache sana waelewa.
Yanatakiwa yamalize mwezi hayo [emoji23][emoji23]Hahah!
Hujanisikia muda ule nasema nataka nikuvizie.
Ila umeupiga mwingi hii january[emoji2960]
Ukifika nistue nikuekeee mimi aiseee😂😂😂😂😂😂Yanatakiwa yamalize mwezi hayo [emoji23][emoji23]
Kesho naelekea pande za kule kule, natumia pikipiki [emoji23][emoji23] ntapita mniwekee ya 3000
Leo umeupiga mwingi[emoji2960]Majuzi niliweka mafuta ya 5,000.
Nilikuwa nakatiza mataa kwa kupitia sheli. Nadhani mnaelewa ule mchezo. Nikahisi kuna askari mbele, nikakaa kwenye pump nikampa jamaa 5000 aniwekee wese ili nisije nikakamatwa na afande, nionekane nimetokea sheli.
Tangu mteja wa passo wa mafuta ya elfu 5 anisumbue basi nawasagia kunguni[emoji1787]Tuache
Ila duniani kuna matabaka!January full tank challenge 😂😂😂
Wee Dada una maneno ni hatari, ngoja wanaoweka wese la elfu 3 waje.Ila duniani kuna matabaka!
Wakati mwingine ananywesha gari lita 60 hadi pump inakata,kuna mwingine ananywesha gari wese lita 1.6 kama kibatari hivi[emoji1787]
Hahahah! Haya maneno mbwembwe tu nachangamsha genge japo yana ukweli.Wee Dada una maneno ni hatari, ngoja wanaoweka wese la elfu 3 waje.
Huyo hakijui kibatari wala chemli inavyosafishwa kwa unga.Duh kibatari! Hivi watoto wa dot-com mnakijua kibatari?!! Karma unakijua kibatari?
Amewaandama sana, siku wakimuamkia hapatatosha humuWee Dada una maneno ni hatari, ngoja wanaoweka wese la elfu 3 waje.
Imekuwa bifu?Tangu mteja wa passo wa mafuta ya elfu 5 anisumbue basi nawasagia kunguni[emoji1787]
Nyie wakishua mnasafisha chemli kwa unga.Huyo hakijui kibatari wala chemli inavyosafishwa kwa unga.
Tuliozaliwa vijijini pekee ndo tunaojua hivyo vitu.
[emoji38]Imekuwa bifu?
Kule kwetu tuna kilimo cha mahindi.Nyie wakishua mnasafisha chemli kwa unga.
Sisi tulikuwa tunatumia majivu.