Thesis
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 1,804
- 3,113
Mkuu hii ilikuwa ni kama mashindano ya magari! Ilikuwa kama vile movies za fast and furious kama umewahi kuzicheki. Bati bati askari wanaonesha kwa Ishara kuwa kimbieni kimbieni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii ilikuwa ni kama mashindano ya magari! Ilikuwa kama vile movies za fast and furious kama umewahi kuzicheki. Bati bati askari wanaonesha kwa Ishara kuwa kimbieni kimbieni
Mkuu hii naomba ije nikute na Benz.. flani hivi 😁😁😁😁
Mungu anaweza akakupa mbingu tu mkuu 😁😁😁😁, mahesabu yakigomaYani mpaka vidole vimetoka jasho hapa kuimagine tu situation hii!!!
Ndio uwe na 250+hp na 260km/h kwenye kisahani, Mungu akupe nini tena?
Aisee hii bahati naomba inipitie siku moja tena niwe na VWMkuu hii ilikuwa ni kama mashindano ya magari! Ilikuwa kama vile movies za fast and furious kama umewahi kuzicheki. Bati bati askari wanaonesha kwa Ishara kuwa kimbieni kimbieni
Mkuu, kuna hii japo ya zamani E 55 AMG V8 Compressor.. sahami 360kmh.. nimefatilia za zamani bei chini labda jamaa zetu waje wakugeuke ikifika banadarini 😂😂😂Yaani Acha tu Una E350 7-Gtronic
😁😁😁😁 Hizo nadra japo hutokea tokea, usiombe itokee upande wa kugandishwa 😀😀😀Aisee hii bahati naomba inipitie siku moja tena niwe na VW
Nageuza narudi angalau na mimi nionje utamu. Nitasafiri kesho yake [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Hizo nadra japo hutokea tokea, usiombe itokee upande wa kugandishwa [emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu unapenda sana Nduki??? Hivi Crown Athlete ina speed ngapi maana jamaa katupita kama tumesimama na hatukumuona tenaYani mpaka vidole vimetoka jasho hapa kuimagine tu situation hii!!!
Ndio uwe na 250+hp na 260km/h kwenye kisahani, Mungu akupe nini tena?
Hata mimi ndivyo ninavyopita watu. Nikiwa nimeiva nikikukata napotea kwenye view yako ndani ya sekunde 10 na hunioni tena.Mkuu unapenda sana Nduki??? Hivi Crown Athlete ina speed ngapi maana jamaa katupita kama tumesimama na hatukumuona tena
Natafuta mnyonge wangu mmoja nafanya naye ligi [emoji23][emoji23][emoji23]Hutaki kupitwa
VW V8 Toureg una maoni nayo ipi, sizioni sana hapa bongo.. ila naona ni moto sanaaaHio balaa!
Jamaa waliogandishwa nimewaonea huruma sana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Hizo nadra japo hutokea tokea, usiombe itokee upande wa kugandishwa [emoji3][emoji3][emoji3]