Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Usipolipa?Fine unalipa ndani ya siku 7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipolipa?Fine unalipa ndani ya siku 7
Khaa nimesema miezi siyo mwaka, mie kuna sehemu Dar hiyo hiyo nafunga zaidi ya mwaka sijaenda kabisa. Mfano maeneo ya Mbagala na majirani zake, yaani huko kumenikalia kushoto sana sijui kwanini na siwezi kuenda kabisa kama sina cha kunipeleka huko. [emoji19][emoji19]Yaani mwaka mzima haiwezekani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
..............
Wateja wetu wakubwa ni hao wa elfu 5 na elfu 2 bajaji na bodaboda...wa magari nao wapo.
Tunawashukuru sana kwa mchango wao ila wachache wenye gubu wajitahidi kupunguza.
Watu wa Dar hamna upendo kabisa[emoji19]Khaa nimesema miezi siyo mwaka, mie kuna sehemu Dar hiyo hiyo nafunga zaidi ya mwaka sijaenda kabisa. Mfano maeneo ya Mbagala na majirani zake, yaani huko kumenikalia kushoto sana sijui kwanini na siwezi kuenda kabisa kama sina cha kunipeleka huko. [emoji19][emoji19]
Huko Mbezi huwa nakuja mara moja moja tena kwa kupitia njia ya Goba au Madale siyo ya Ubungo-Kimara, na huwa naishia Stendi ya Magufuli sishuki kule chini ile ya Kinyerezi. Usijali siku nikipita tena huko nitakuambia, ila tu uwepo ili nikukasirishe vizuri. [emoji1787][emoji1787]
Halafu unanisema mimi usikute hata wewe hapo utamaliza mwaka mzima utazunguruka tu huko huko kwenye wilaya ya Ilala, hutaki hata kutembelea na wilaya zingine kama Kinondoni na Kigamboni. Tembea tembea asee, au nawe utasingizia hujapapenda Dar. [emoji16][emoji16]
Ntalipa hata week ijayo.Hivi kwa mfano ukapigishwa fine na hauna hela,inakuwaje?
Dar ni ndogo kwenye ramani. Ila kwenye 'ground' ni kubwa kupita maelezo.Khaa nimesema miezi siyo mwaka, mie kuna sehemu Dar hiyo hiyo nafunga zaidi ya mwaka sijaenda kabisa. Mfano maeneo ya Mbagala na majirani zake, yaani huko kumenikalia kushoto sana sijui kwanini na siwezi kuenda kabisa kama sina cha kunipeleka huko. [emoji19][emoji19]
Huko Mbezi huwa nakuja mara moja moja tena kwa kupitia njia ya Goba au Madale siyo ya Ubungo-Kimara, na huwa naishia Stendi ya Magufuli sishuki kule chini ile ya Kinyerezi. Usijali siku nikipita tena huko nitakuambia, ila tu uwepo ili nikukasirishe vizuri. [emoji1787][emoji1787]
Halafu unanisema mimi usikute hata wewe hapo utamaliza mwaka mzima utazunguruka tu huko huko kwenye wilaya ya Ilala, hutaki hata kutembelea na wilaya zingine kama Kinondoni na Kigamboni. Tembea tembea asee, au nawe utasingizia hujapapenda Dar. [emoji16][emoji16]
Ukipita kituo chetu am sure gari litakusukuma uingie.Sisi wengine magari yetu yanachagua vituo. PumaTotal,Oryx
Kumbe!Ntalipa hata week ijayo.
Kwani wanaambizana kama unadaiwa?Faini inaongezeka
Naaam!Sisi wengine magari yetu yanachagua vituo. PumaTotal,Oryx
Ni automated; taarifa zako (za gari au leseni) ndizo zinapelekea kuongezeka bila ya wao kuambizana - endapo hautolipa kwa wakati.Kwani wanaambizana kama unadaiwa?
Kumbe!Ni automated; taarifa zako (za gari au leseni) ndizo zinapelekea kuongezeka bila ya wao kuambizana - endapo hautolipa kwa wakati.
Ila siku hizi angalau hata usipolipa kwa muda mrefu haiwezi kuzidi mara mbili ya kile ulichoandikiwa. Kwa hiyo, ilifika 60k tu, inagota hapo hata ukae miezi 6 hujalipa.
Hapo awali ilikuwa inapanda sana. Niliwahi kupigwa faini 30k (kwa kosa ambalo baadaye nilikuja kufahamu kuwa lilihitaji onyo tu na siyo faini). Nikasahau kuilipa hadi ikiwa 120k, siku hiyo traffic kanisimamisha pale Ruvu JKT. Nikamvimbia mpaka RTO kapigiwa, nikaona hapa nitazidi kuchelewa tu. Ikabidi nilipe 120k.
Njooni mniungishe nyie.Naaam!
Kuna vituo hua vinauza mafuta bei cheeee sijui wanawezaje wezaje.Sisi wengine magari yetu yanachagua vituo. PumaTotal,Oryx
Kuna mwenzio anamuendeshaga mputa mputaa....jokingMidas hii natoka kuvuka hapa Busisi na VANGUARD hapa usiku huwa zinavuka private car nyingi sana (kulikuwa n'a foleni), sasa gari zimetoka zinafukuzana afu kwenye wheel yupo wife nilichoka hivyo nikaomba amalizie safari .
Ebwanaeeeh, hawa viumbe tuishi nao kwa akili, aiseeh gari unapigwa fimbo kwenye hizi mbio kiasi ambacho hâta mimi sijawahi kwenda, overtaking za kibabe balaa, kuna muda nilianza kupatwa na wasiwasi.
Nataka tukifika room nimuulize huu ubandidu kajifunzia wapi, atakuja kufa siku moja huyu.
Ili ukamsaidie kupunguza mawazo au sio! Wanaume tuna huruma Sana, tuzidi kubarikiwa.Alijieleza kuwa aliskia 50 sema ana mawazo sijui blaah blaah alikuwa na kipengele. Ilibidi nichukue namba yake ili nikiwa fresh nimcheki
Wanapunguza faida Yao kutoka 100/- mpaka 50/60/- kwa Lita. Wanapata faida kubwa kwenye volume. Wanauza sana kuliko wale wanaobaki na bei elekezi.Kuna vituo hua vinauza mafuta bei cheeee sijui wanawezaje wezaje.
Faida ni kidogo lakini mauzo yanakuwa makubwa sana na stock turnover inakuwa many times maana mafuta yanaingia na kutoka haraka,,bei nzuri inavuta wateja wengi.Kuna vituo hua vinauza mafuta bei cheeee sijui wanawezaje wezaje.