Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahahahah kazi kweli tunaiona inavyoendelea😅Tuchape kazi...kazi iendelee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahah kazi kweli tunaiona inavyoendelea😅Tuchape kazi...kazi iendelee
Tutamkumbuka sana MshuaAngekuwepo tusinge ruka hizi sarakasi.. tunatamkumbuka kwa mengi tu hasa yale memaView attachment 2147854
lini tuliacha fanya kazi 😀😀😀Tuchape kazi...kazi iendelee
Hahahahahahah jamaa hawapendi kabisa.Utakula ban sasa hivi.....😎😎
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahah kazi kweli tunaiona inavyoendelea[emoji28]
Mama anaendelea kufungua nchiNchi imefunguliwa kwa wahuni[emoji28] naskia tembo wanakula shoka si mchezo huko[emoji23]
Tunataelewa tu 😅😅Tutamkumbuka sana Mshua
Muhimu ni kuchakarika kwa mujibu wa nchi inavyoenda. Hata awamu iliopita wengi waliumia. Wengine wakaenda na beat maisha yakasonga, na sasa hivi mwendo ule ule. Ukibaki kulalamika itapita miaka 10 kama upepo.Hahahahahahah jamaa hawapendi kabisa.
Leo nimekutana na fortuner mbichi namba T 999 FGP nimeshangaa sana mzeeIla mtaani kuna vyuma vinaingia si mchezo, namba za GP MP kama zote. Twende na beat mkuu
Dah mzee inabidi tupeane kamba sasa maana network zimeshavurugika ni muda wa ku revive😅Muhimu ni kuchakarika kwa mujibu wa nchi inavyoenda. Hata awamu iliopita wengi waliumia. Wengine wakaenda na beat maisha yakasonga, na sasa hivi mwendo ule ule. Ukibaki kulalamika itapita miaka 10 kama upepo.
Tusake pesa tu 😅😅😅Leo nimekutana na fortuner mbichi namba T 999 FGP nimeshangaa sana mzee
Msinisahau na mimi kunipa kamba hata kama ni fupiDah mzee inabidi tupeane kamba sasa maana network zimeshavurugika ni muda wa ku revive[emoji28]
Hahahahah si mlichekelea vitoroli vya dubai😅Mama anaendelea kufungua nchi
Akina Jumbe haoHahahahah si mlichekelea vitoroli vya dubai[emoji28]
Kimeumana mbugani hukoAkina Jumbe hao
Aina namna ni kufosi kingi tuTupambane mkuu....😀😀
Kuna nini tena?Kimeumana mbugani huko