Mkuu naheshimu msimamo wako...😊..
Multi grade oils zinasaidia kusambaa sehemu zote za injini within ten seconds, at most...unlike monograde..
Ndiyo maana gari nyingi za siku hizi hazina haja ya kuoasha injini sijui nusu saa kabla ya safari,....kama unatumia oil ambayo ni multi grade, ni kuwasha na kusepa...
Watengenezaji wa magari wamekadiria kuwa, ukiwasha gari, ufunge seat belt umalize, sekunde kumi zitakuwa zimetimia na oil itakuwa imefika kila eneo..
SAE 40 kavu inaua injini ndogo za petrol taratiibu....
Unakutana na Passo Camshaft zinagonga kama injini ya tractor, hayo ni madhara ya SAE 40 kwenye injini ambazo zilipendwkezwa kutumia multi grade oils