Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Wese limepigwa mande ya kufa mtu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitu adimu hivyo mkuu,watu wamezoea zile royal na athletes hiyo majesta kuiona mtaani ni kama ngekewa.Jana kuna mdau alikuwa anatumia Crown Majesta!
Alinifurahisha sana.
Lc 200 nilimuacha kwa mbali sana.Hivi hizi defender new model kuna mtu ashawahi kukimbizana nayo?
Piga trip moja ya Morogoro, wakati unarudi lazima utagusa hiyo nambaHahaha, Bado mkuu
Mkuu Mbona pale Toyota Vingunguti Kwenye Showroom Zipo na Moja LC 300 GR Sports Kila siku imewekwa pale.Kwa Africa, hizi gari zinaingia dealerships kuanzia 2023 January officially.
Hizi unazoziona, hazipitii Toyota Tanzania. Wanazileta kivyao.
Hiyo si sample kwa potential customers?Mkuu Mbona pale Toyota Vingunguti Kwenye Showroom Zipo na Moja LC 300 GR Sports Kila siku imewekwa pale.
Na Kwenye parking za stocks car zipo
RAC wameshashusha tayari LC300 na Prado latest zile zenye badge ya 70th anniversary.Budget ikitoka tu lazma chuma zimwagike road😂😂😂 watasumbua sana yani
Mbona sijaziona road mkuu?RAC wameshashusha tayari LC300 na Prado latest zile zenye badge ya 70th anniversary.
Acha ijae tuone panapovujaRAC wameshashusha tayari LC300 na Prado latest zile zenye badge ya 70th anniversary.
Shirika la Reli(RAC) Wanazo wamenunua Toyota. Ukiacha za show room pale kwenye yard zao hizo gari zipo nyingiHiyo si sample kwa potential customers?
Test drive? Visuals?
Ukiweka order ndo mzigo unaanza kuingia.
Okay.Shirika la Reli(RAC) Wanazo wamenunua Toyota. Ukiacha za show room pale kwenye yard zao hizo gari zipo nyingi
Zipo aisee, tena kibao. Kama hizo Prado si ndiyo zimejaza STM!Mbona sijaziona road mkuu?
Bila shaka ni nyeupe... Huwa naiona mara Kwa mara hapa makutano ya morogoro / Bibi titi road, Namuonaga Faraj asas on the wheel pale.Leo nimekutana na LC300 GR mitaa ya Njiro.
Mi nashusha yeye anapandisha.
DYR.
No. Ni nyeusi.Bila shaka ni nyeupe... Huwa naiona mara Kwa mara hapa makutano ya morogoro / Bibi titi road, Namuonaga Faraj asas on the wheel pale.
Sio mimi mkuu nilikuwa nasema nipate mzinga kama huu halafu nipone ningeshukuru kila mda kila sekunde ya pumzi aiseeJambo la kushuru Mungu. Mungu ashukuriwe katika maisha yako