Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Kila la heri kwenye kusaga lami mwamba.
Shukrani kamanda, pamoja sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila la heri kwenye kusaga lami mwamba.
Mbaya zaidi sijuagi majina ya hayo maeneo.Wakali wa hizi kazi...
Mwenye kujua vijiwe vya wazee wa favor "kunguru weupe" barabara ya Tanga <> Dar hebu aviweke bayana hapa, kuna road trip ya kutumia hiyo barabara Jumapili, nisijewaachia wakuda hao pesa ya sikukuu...
Dar - Bagamoyo - Segera - Muheza - Tanga
Mbaya zaidi sijuagi majina ya hayo maeneo.
Ila kuna spots huwa nawakuta kila nikipandisha hiyo njia.
Tochi huwa hazina sehemu maalumu.
Kabla hamjarudi hakikisha unatembelea sehemu ya kuosha gari au gereji yenye Pressure Washer na ile ya kupulizia Upepo au kujazia Matairi kisha cheza na hiyo Radiator ipigwe Maji ya Pressure Washer sana na kisha Pressure ya Upepo sana kisha rudia Pressure Washer mpaka ujiridhishe alafu zama Mfukoni na uweke Coolant.Kwema wakuu..... leo sina hamu kabisa yani, yani leo nimechezewa na Alphard kama mtoto hadi roho imeniuma sana na hadi hapa nilipo nina hasira sana na hata usingizi umegoma kabisa. Mie nilikuwa na Nissan XTRAIL old model T30.
Na ilikuwa ni msafara mmoja wa harusi na aliekuwa ananichezea ni kaka yangu na huwa hafati mziki wangu hata kidogo na hata yeye anajua hilo na kabla ya safari kuanza aliniomba nisikimbie sana. Tumetoka Singida na kwenda kuoa Mwanza, na gari zilikuwa 8 yaani Alphard 2, Nissan XTRAIL 2, IST 1, Toyota Camry 1, Kluger 1 na bus kubwa tulikodi kwa ajili ya akina mama.
Na sababu ya kuchezewa ni hii gari yani ikifika 150kph - 160kph inapandisha sana Temperature kwa hiyo inabidi upunguze hadi 100kph - 90kph ndio angalau inashusha temperature. Hii gari niliazima kwa jamaa yangu na kumuachia gari yangu Subaru Forester XT kwa kigezo cha kusave pesa kwenye masuala ya mafuta. Lakini baada ya kusave mafuta mwishowe imeniletea fedheha tu. Ila Kiukwel nimezichukia sana Nissan XTRAIL.
Shukraan sana kiongozi kwa trick uliyonipa, ila tulirudi siku ile ile na kiukwel nilirud kinyonge sana. Ila pia ile XTRAIL ilikuwa na coolant kwenye radiator, Ila siwezi tena kutumia XTRAIL kwenye misafara maana ni aibu mnoo, nitapambana tu na Subaru XT yangu.Kabla hamjarudi hakikisha unatembelea sehemu ya kuosha gari au gereji yenye Pressure Washer na ile ya kupulizia Upepo au kujazia Matairi kisha cheza na hiyo Radiator ipigwe Maji ya Pressure Washer sana na kisha Pressure ya Upepo sana kisha rudia Pressure Washer mpaka ujiridhishe alafu zama Mfukoni na uweke Coolant.
Huyo mwenye Alphard utampasua Kifua na utakuja kunishukuru na kuhadithia tena hapa.
In-fact & In-short: Cheza na Radiator ujuavyo utajionea muujiza njiani ukiwa unarudi.
Coolant na Maji ya kawaida ni sawa ufaninishe Energy drink na Soda... Nyingi zinafanana na wengi hawajui tofauti lakini Kazi yake ni kubwa sana.
Naomba kuwasilisha.
Arusha ina askari wengi kuliko vituo vya daladala.Leo Traffic wamejua kukomesha watu Njiro road [emoji119][emoji119]
IlikuajeLeo Traffic wamejua kukomesha watu Njiro road 🙌🙌
Kanyooka kama ndo kashuka kwenye meli vile 😂 na plate no mpya DZA 🤣🤣.
Fuga [emoji91][emoji91][emoji91]
Hii kweliArusha ina askari wengi kuliko vituo vya daladala.
Humalizi km 2 hujakutana na askari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu walivyo ajinga hata rango hawakuyapaka. Nilijua tu lazima watu wale za uso paleHaya matuta mapya ya makongo lugalo ni makubwa duh. Tulip Zoea kutembea na zile humps unakutana na rasta mpya Kama za Iringa kihesa semtema alafu unalikuta li bumps kuuubwa ni yatari Sana. Usiku WA Jana nimekuta ajali mbili hapo.
Wewe ulikuwa unaendesha gari gani Kati ya hizoYeye ndiye mwenye makosa, ana jukumu la kunilipa
Imemeza milioni mbili na ushee, na bado kidogo kuna taa za nyuma zina crack itabidi nizibadilishe. Sema inatia raha.Kanyooka kama ndo kashuka kwenye meli vile [emoji23] na plate no mpya DZA [emoji1787][emoji1787].
Imekula shi ngapi mpaka kurudi road? Insurance ilitumika au mlimalzana na jamaa?
Nyeusi, iliyogongwa kwa nyumaWewe ulikuwa unaendesha gari gani Kati ya hizo
Na yule jamaa aliekugonga alikulipa au ni bima imelipa? Au umetoa mfukoni?Imemeza milioni mbili na ushee, na bado kidogo kuna taa za nyuma zina crack itabidi nizibadilishe. Sema inatia raha.
Nlimalizana na jamaa kishkaji
Hapo hata ungekuwa na makonda wewe jamaa ingemhusuNyeusi, iliyogongwa kwa nyuma