Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Heshima inaenda kuisha kivipi mkuu

Kwamba siku hizi watu wengi wanaziafford ama

Au heshima ya gari ipo kwenye mabio tu pekee
Vyote vinaenda kuhappen.. 1. Zitakuwa nyingi private.. Yakiingia magari mapya kuna ya serikali yatauzwa..!
2. Heshima yake ilikuwa ni mbio.. Ndio maana mtaani zinaitwa Landcruiser V8 wakati hilo sio jina lake..!
 
Back
Top Bottom