Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Nikionaga mwanamke anaijua vizuri manyo namuheshimu sana; anyway so we Mnyamwezi bado upo mkoani Tanga!? Sorry kwa kuchangia UZI wa zamani
Yaani nikiwa nabadili gia na kuchezesha/kubalansisha mguu kwenye clutch na breki yaani huwa napata raha sana.
Na akili yangu ilivyo, huwa nalinganisha kuendesha manual na kugegedana, weeh mkikutana mnajua kukabana kama watu wa Sumo, balaaah....😅😅😅
Ila tuu kusiwe na foleni....🙂.
Tanga nilikiwa kipindi hicho, siishi huko nilienda tuu kuka bata.
Kweli ume quote quote ya kitambo sana, nimeukimbia huu uzi maana nimekuwa natoka nje ya mada, kutoka Road trip hafi Mahaba trip...😜😜.
Sitaki kumkwaza Bataraingaya and the Co..
Cheers 🍻everyone.
Kasie Mahaba Matata.