G-Funk
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 2,398
- 5,554
Labda serikali ianze kuziagiza kwa wingi na kwa sasa wataagiza zaidi GR version maana ndio ngumu kama ilivyokuwa GX-R. Wakurugenzi ndio watatungua VX-R za kutosha.Bado lakini zina probability Kubwa ya kuanza kuzagaa kuliko wajerumani wengi wa 2010s and co
Ila kwa sasa ni ma Don wachache ndio wanazo.