Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Screenshot_20220628-180456_Photos.jpg
 
Nimekuuliza swali niamini source yako ?

Unaleta mambo ya ulianganifu, wapi nimelinganisha au kufananisha madalali ?

Wapi nimesema gari za 2007 ni new model ..

Nimeweka hapo hiyo ni RR SVR Carbon Edition na bei yake anayo uza muuzaji. Simple Jamaa anuza gari na sio zote anachukulia Singapore.

Kairos LC300 ameuza ukipita utaona bei yake

Narudia LC300, haiwezi kuwa juu ya RR SVR Fiber edition.. Na kusema hivi sio nimeibeza LC300..i
Tafteni bei ya stock cars ndio mfanye comparison, sasa gari ambayo iko edited kwa soko flani utaichanganyaje na gari inayotoka stock market.
Tafta Range Rover tu ya kawaida linganisha kwa MRSP toka kwenye website zote ya JLR na ya Toyota.

Hapo tutapata a real comparison in price
 
Back
Top Bottom