Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 Hii Sura ya LC300Toyota Bentruiser J300 [emoji16][emoji16]View attachment 2286266
Hawa jamaa wanatuona mapimbi wanatuzungusha umoumo yanii dah😂😂😂 Hii Sura ya LC300
Hio wameedit wahuni muipuuze 😂😂😂😂😂😂 Hii Sura ya LC300
Porsche nafikiri ndio the only precisely made German make ikifuatiwa na Benz.German cars are not reliable.View attachment 2285930
Hahahahaha Toyota wana vitu vya maana zaidi this yearOh afadhali maanake nilikuwa najiuliza Toyota wako serious kweli?
Eeh ndio maana wameiita hivyoNow I get it. Wamechukua Sura ya LC wameipachika kwenye Bentley flying spur. Ndio maana jina Bentcruiser
The driving is American but the roadtrip etiquette is world wide.American style
Na bado zinafanya kazi nzito sana, sio jambo dogo au la mzaha kupeleka gari kushiriki kwenye rally,. Kwenye east Africa rally juzi kati pale Kenya hizo Porsche zilishiriki nhingi sanaGerman cars are not reliable.View attachment 2285930
Hahaa ni photoshop hiyo mkuuHawa jamaa wanatuona mapimbi wanatuzungusha umoumo yanii dah
Hahaa ulijua kweliOh afadhali maanake nilikuwa najiuliza Toyota wako serious kweli?
Eti J300 [emoji23]Now I get it. Wamechukua Sura ya LC wameipachika kwenye Bentley flying spur. Ndio maana jina Bentcruiser
Umeipenda nimuambie Makiwendo .. imesimama sana hiyo kituToyota Bentruiser J300 [emoji16][emoji16]View attachment 2286266