RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
- Thread starter
- #18,021
Jamaa kaamua kuchukua nafasi ya Extrovert kuumia kwa mambo ya watu wengine.Naongea kwasababu sijaziona. Sijabahatika kukutana nazo. Nyingi ambazo nakutana nazo ni Japanese car. Hiyo ni experience yangu. Na ndio maana mmesema zipo nyingi sijapinga ni experience zenu, na ambazo nime agree, kwasababu nimepiga hesabu kutokana na garage ambazo nina zitembelea