Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Naongea kwasababu sijaziona. Sijabahatika kukutana nazo. Nyingi ambazo nakutana nazo ni Japanese car. Hiyo ni experience yangu. Na ndio maana mmesema zipo nyingi sijapinga ni experience zenu, na ambazo nime agree, kwasababu nimepiga hesabu kutokana na garage ambazo nina zitembelea
Jamaa kaamua kuchukua nafasi ya Extrovert kuumia kwa mambo ya watu wengine.
 
Jamaa ana ford ranger
namba ea Kila kituo anasimama anapakia mafuta si mchezo.
PXL_20220916_031407743.MP.jpg
 
Huu uzi nmeanza kuufuatilia since day 1, na nilikuwa sina gari mpaka nmekuja kumiliki langu mwezi uliopita. ila ni mnazi mkubwa wa safari, mabasi na mambo ya barabarani. Umesaidia sana kunipa elimu za masuala ya barabarani, esp night driving nlikua na struggle sana na hio kitu but kuna mdau humu alitoa hints fulani hivi nimezi apply zimenisaidia ku-improve.
Always tembea na Chaki usiku, kwenye overtakes unarudi kushoto kidogo kuifata chaki ya njano. Night driving glasses ni muhimu kuzuia taa kali za madereva wenzio. 😂😂😂 Naimani hayo yamekufaa sana mkuu
 
Back
Top Bottom