Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Hotel ya Kilimanjaro Express. Nadhani akiresume safari za Dar ~ Mbeya ~ Tunduma ndio itaanza kuwa operarional kama bado. Ila ki miundo mbinu kila kitu kipo on point tayariMkuu hii ni T1, maeneo umeshamaliza kushuka kitonga pass, nadhani ni mwekezaji mpya huyu masuala ya vyakula na vinywaji, apatangaze sana ikiwa ni pamoja na kuweka mabango
Mungu ni mwema,welldone mkuuHabari wazee Road trip! Leo nimejikwatua Go and return from singida to Arusha.
Mungu ni mwema kila kitu kileenda poa.View attachment 2383713
Thanks much mkuu!Mungu ni mwema,welldone mkuu
Juzi niko Njia panda ya Himo kuja Dar.Ukipata mdada mara nyingi hawana shida..changamoto kwetu sisi wanaume..
Unaweza kukuta ananuka jasho, socks, mipombe..yaani hausikii raha kufunga vioo..[emoji19][emoji19]
[emoji28][emoji28][emoji28]...alikosa ujasiri wa kusema mkuu punguza speed..Juzi niko Njia panda ya Himo kuja Dar.
Nikasimama pale kuvunga kidogo kuna ki bar upande wa kushoto ukiwa unakuja Dar.
Nikanunua supu pale wakati namalizia akaja mdau smart hivi tukasalimiana, akajitambulisha ni mtumishi wa Serikali,(akisoma hapa ataelewa) akaomba lift ya kuja Dar
Nikamtahadharisha kuwa nitakimbia kidogo, kama yuko comfortable tuende! Nikakiamsha, tumefika Same anaanza stori za ajali ajali, sijui nani kapata ajali juzi, yaani akaanza kunisimulia mambo ya ajali na anaongea kwa sauti kweli yani!! Nikajua keshaingia Upepo[emoji23][emoji23][emoji23]
Tunafika Mombo akaomba kama anaweza kuchimba dawa, nishausoma uoga alokuwa nao.
Nikasimama ile hotel ya Rock n Hill, nikafikiria Mwamba asingerudi.
Alirudi akawa kama vile anaongea na simu, akaomba nimwache Korogwe [emoji28][emoji28] kuna mtu wamekubaliana waonane hapo, ana pesa yake.
[emoji1787][emoji1787]akashuka pale Korogwe bana kuchukua pesa yake.
Kuna watu wana speed phobia aliamini akipanda V8 speed ingeishia 180kph [emoji1787]
Offcoz nilimwambia nitakimbia kidogo yeye akafikiria ni kidogo ya kawaida.[emoji28][emoji28][emoji28]...alikosa ujasiri wa kusema mkuu punguza speed..
Kwa ujumla kuwapa watu lift panakuyima uhuru flani hivi...
Sahihi, hapo nilikua bado sijapanda Kitonga sema niligeuza uelekeo kama naenda mikumi.Mkuu hii ni T1, maeneo umeshamaliza kushuka kitonga pass, nadhani ni mwekezaji mpya huyu masuala ya vyakula na vinywaji, apatangaze sana ikiwa ni pamoja na kuweka mabango
Hufai MkuuOffcoz nilimwambia nitakimbia kidogo yeye akafikiria ni kidogo ya kawaida.
Niliziwasha gari mbili za jeshi! Nissan na Prado ambazo nazo zilikuwa moto mdau akachoka balaa. Ikabidi akumbuke ana mtu ana mdai Korogwe
Kwamba Mdada?Mdada na mara pap pacha mmmmm utakumbuka abiria wa kiume ni bora!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....aligundua roho haikopwi NMB...Offcoz nilimwambia nitakimbia kidogo yeye akafikiria ni kidogo ya kawaida.
Niliziwasha gari mbili za jeshi! Nissan na Prado ambazo nazo zilikuwa moto mdau akachoka balaa. Ikabidi akumbuke ana mtu ana mdai Korogwe
Pancha itajisumbukia yenyewe...Mdada na mara pap pacha mmmmm utakumbuka abiria wa kiume ni bora!
Kwamba wadada hatujui kuziba pancha?😃Pancha itajisumbukia yenyewe...
Infact, kumpa mdada lift safari haichoshi..ukitupa jicho unakuta amekaa hips zake zimeenea kwenye siti ...safari inakuwa haichoshi..[emoji4][emoji4]
Pancha zenyewe za siku hizi, chomeka utambi...mbele kwa mbele..[emoji23]Kwamba wadada hatujui kuziba pancha?[emoji2]
Tutatoa ushirikiano hata kwa kuchungulia tu😂Pancha zenyewe za siku hizi, chomeka utambi...mbele kwa mbele..[emoji23]
Ugonjwa mbaya sana huu bahati nzuri ni usiku temperature ipo chini lami Ina ubaridi ingekuwa mchana kazi ingekuepo.Msitubague wadada jamani [emoji23]
Mm natoa msaada gari ikichemsha.
Ilichemsha vichakani na maji hakuna.
Wacha nizunguke Kwa nyumba za watu ,nazo ziko mbali mbali..saa 4 tu wanaogopa kufungua milango.
Una miguu kama ya ex wangu.Msitubague wadada jamani [emoji23]
Mm natoa msaada gari ikichemsha.
Ilichemsha vichakani na maji hakuna.
Wacha nizunguke Kwa nyumba za watu ,nazo ziko mbali mbali..saa 4 tu wanaogopa kufungua milango.
Unadhani hata nilikuwa naelewa basi😃NDio nikawa naona humo ndani kumbe Kuna hadi madumu ya maji😁..Ugonjwa mbaya sana huu bahati nzuri ni usiku temperature ipo chini lami Ina ubaridi ingekuwa mchana kazi ingekuepo.