Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Habari wazee Road trip! Leo nimejikwatua Go and return from singida to Arusha.

Mungu ni mwema kila kitu kileenda poa.
IMG_20221011_121722.jpg
 
Mkuu hii ni T1, maeneo umeshamaliza kushuka kitonga pass, nadhani ni mwekezaji mpya huyu masuala ya vyakula na vinywaji, apatangaze sana ikiwa ni pamoja na kuweka mabango
Ni Hotel ya Kilimanjaro Express. Nadhani akiresume safari za Dar ~ Mbeya ~ Tunduma ndio itaanza kuwa operarional kama bado. Ila ki miundo mbinu kila kitu kipo on point tayari
 
Ukipata mdada mara nyingi hawana shida..changamoto kwetu sisi wanaume..
Unaweza kukuta ananuka jasho, socks, mipombe..yaani hausikii raha kufunga vioo..[emoji19][emoji19]
Juzi niko Njia panda ya Himo kuja Dar.
Nikasimama pale kuvunga kidogo kuna ki bar upande wa kushoto ukiwa unakuja Dar.

Nikanunua supu pale wakati namalizia akaja mdau smart hivi tukasalimiana, akajitambulisha ni mtumishi wa Serikali,(akisoma hapa ataelewa) akaomba lift ya kuja Dar

Nikamtahadharisha kuwa nitakimbia kidogo, kama yuko comfortable tuende! Nikakiamsha, tumefika Same anaanza stori za ajali ajali, sijui nani kapata ajali juzi, yaani akaanza kunisimulia mambo ya ajali na anaongea kwa sauti kweli yani!! Nikajua keshaingia Upepo😂😂😂

Tunafika Mombo akaomba kama anaweza kuchimba dawa, nishausoma uoga alokuwa nao.
Nikasimama ile hotel ya Rock n Hill, nikafikiria Mwamba asingerudi.

Alirudi akawa kama vile anaongea na simu, akaomba nimwache Korogwe 😅😅 kuna mtu wamekubaliana waonane hapo, ana pesa yake.

🤣🤣akashuka pale Korogwe bana kuchukua pesa yake.

Kuna watu wana speed phobia aliamini akipanda V8 speed ingeishia 180kph 🤣
 
Juzi niko Njia panda ya Himo kuja Dar.
Nikasimama pale kuvunga kidogo kuna ki bar upande wa kushoto ukiwa unakuja Dar.

Nikanunua supu pale wakati namalizia akaja mdau smart hivi tukasalimiana, akajitambulisha ni mtumishi wa Serikali,(akisoma hapa ataelewa) akaomba lift ya kuja Dar

Nikamtahadharisha kuwa nitakimbia kidogo, kama yuko comfortable tuende! Nikakiamsha, tumefika Same anaanza stori za ajali ajali, sijui nani kapata ajali juzi, yaani akaanza kunisimulia mambo ya ajali na anaongea kwa sauti kweli yani!! Nikajua keshaingia Upepo[emoji23][emoji23][emoji23]

Tunafika Mombo akaomba kama anaweza kuchimba dawa, nishausoma uoga alokuwa nao.
Nikasimama ile hotel ya Rock n Hill, nikafikiria Mwamba asingerudi.

Alirudi akawa kama vile anaongea na simu, akaomba nimwache Korogwe [emoji28][emoji28] kuna mtu wamekubaliana waonane hapo, ana pesa yake.

[emoji1787][emoji1787]akashuka pale Korogwe bana kuchukua pesa yake.

Kuna watu wana speed phobia aliamini akipanda V8 speed ingeishia 180kph [emoji1787]
[emoji28][emoji28][emoji28]...alikosa ujasiri wa kusema mkuu punguza speed..
Kwa ujumla kuwapa watu lift panakuyima uhuru flani hivi...
 
[emoji28][emoji28][emoji28]...alikosa ujasiri wa kusema mkuu punguza speed..
Kwa ujumla kuwapa watu lift panakuyima uhuru flani hivi...
Offcoz nilimwambia nitakimbia kidogo yeye akafikiria ni kidogo ya kawaida.

Niliziwasha gari mbili za jeshi! Nissan na Prado ambazo nazo zilikuwa moto mdau akachoka balaa. Ikabidi akumbuke ana mtu ana mdai Korogwe
 
Msitubague wadada jamani 😂
Mm natoa msaada gari ikichemsha.

Ilichemsha vichakani na maji hakuna.
Wacha nizunguke Kwa nyumba za watu ,nazo ziko mbali mbali..saa 4 tu wanaogopa kufungua milango.
 
Attachments

  • 20220930_223140 (1).jpg
    20220930_223140 (1).jpg
    756.8 KB · Views: 20
  • 20220930_224321.jpg
    20220930_224321.jpg
    365.3 KB · Views: 28
  • 20220930_224530.jpg
    20220930_224530.jpg
    486.1 KB · Views: 26
Msitubague wadada jamani [emoji23]
Mm natoa msaada gari ikichemsha.

Ilichemsha vichakani na maji hakuna.
Wacha nizunguke Kwa nyumba za watu ,nazo ziko mbali mbali..saa 4 tu wanaogopa kufungua milango.
Ugonjwa mbaya sana huu bahati nzuri ni usiku temperature ipo chini lami Ina ubaridi ingekuwa mchana kazi ingekuepo.
 
Ugonjwa mbaya sana huu bahati nzuri ni usiku temperature ipo chini lami Ina ubaridi ingekuwa mchana kazi ingekuepo.
Unadhani hata nilikuwa naelewa basi😃NDio nikawa naona humo ndani kumbe Kuna hadi madumu ya maji😁..
Tulivyoweka maji,kumbe hilo dumu lilikuwa limetoboka,yakapitiliza Hadi kwenye oil.

Sema tangu tumeanza safari niliwaambia jamani gari inanuka,,wakasema kwa sababu tumejaza mizigo kwenye Buti..Haya.

Mm nikatafuta barakoa nikavaa maana nilikuwa nasikia harufu kali tu.
 
Back
Top Bottom