b4theg
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 356
- 1,208
Kesho asubuhi natoka dodoma to dar nitaondoka saa 1
Safari njema mkuu. Speed doesnt pay but wins. Paki funguka fungua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesho asubuhi natoka dodoma to dar nitaondoka saa 1
...wazee wa location, wapi hapa ..[emoji28][emoji2960]
Ukipatia una lita zako 20 za petrol..[emoji2960][emoji2960]View attachment 2380715
kwahio hadi sasa hujui kuendesha gari chalii yangu?Hata kujua kama ni automatic au manual sijui🤣🤣
Jamaa alikuwa anakwenda hadi 140km/h
Nikamwambia asivuke 120km/h
Aisee LC300 ni nyepesi sana kushika kasi, kuna moja niliigumia juzi kitaa inatoka Morogoro road inaningia kondoa street jamaa akaomba kushoto aliichapa moto yani shwaaap ngoma ileee...break kwenye bumps. Sipati picha ikiwa kwenye free way.Daah kinachoniua ni Ile sound aisee Kuna Moja nilikutana nayo juzi sema nikikuwa kwenye pikipik sikutamani iniache distance kubwa niendelee kuitazama na niisogelee nyuma niskie Ile sound yake anapolikanyaga akipanda bumps.[emoji119]
[emoji122][emoji122][emoji122] uko vizuriGetifonga moyaa, unaitafuta TPC bila shaka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwahio hadi sasa hujui kuendesha gari chalii yangu?
Ni kweli kabisa bado sijui kuendesha garikwahio hadi sasa hujui kuendesha gari chalii yangu?
utaendesha tuNi kweli kabisa bado sijui kuendesha gari
Shukrani mkuu nilitoka dom saa 1 na nusu asubuhi dar nimeingia saa kumi jamaa wamenila 20k kwa overspeedingSafari njema mkuu. Speed doesnt pay but wins. Paki funguka fungua.
Pole sana mkuu na hongera Kwa kufika salama. Hivi Kwa MFano ungeondoka Dom SAA moja usiku ingewezekana kufika labda saa Saba hivi au nane?Shukrani mkuu nilitoka dom saa 1 na nusu asubuhi dar nimeingia saa kumi jamaa wamenila 20k kwa overspeeding
Njoo kwa kuhani Mussa mzee ufanyiwe maombiNi kweli kabisa bado sijui kuendesha gari
Pole ila sikutegemea to cover just less than 400km kutumia masaa 10!,kweli safari yetu kama nchi ni bado, speed SIO TATIZO, barabara zetu ni duni mnoShukrani mkuu nilitoka dom saa 1 na nusu asubuhi dar nimeingia saa kumi jamaa wamenila 20k kwa overspeeding
Maombi tena🤣🤣🤣🤣Njoo kwa kuhani Mussa mzee ufanyiwe maombi
Dar ~ Tanga ndio less than 400Kms, ila kwa Dodoma inazidi huo umbaliPole ila sikutegemea to cover just less than 400km kutumia masaa 10!,kweli safari yetu kama nchi ni bado, speed SIO TATIZO, barabara zetu ni duni mno
Barabara za bongo ni shida mkuu imagine ni km 447 hivi jana nimetoka Dar-Nachingwea nimetoka dar pale ubungo kwenye saa 2 na nusu asubuhi nimeingia saa 12 nachingwea km 650Pole ila sikutegemea to cover just less than 400km kutumia masaa 10!,kweli safari yetu kama nchi ni bado, speed SIO TATIZO, barabara zetu ni duni mno
Na hili ndio tatizo ila wanasiasa wetu na vijana wa dot.com wanaingiza vichwa vyao mchanganyi, barabara zetu bado na nyingi zimejengwa bila kuzingatia utaalamu wa kiusalama, ajali nyingi zinatokea sio sababu ya speed, nyingi zinatokana na mapungufu mengiBarabara za bongo ni shida mkuu imagine ni km 447 hivi jana nimetoka Dar-Nachingwea nimetoka dar pale ubungo kwenye saa 2 na nusu asubuhi nimeingia saa 12 nachingwea km 650
Ni shida mkuu mkeka unanifurahishaga ni ule wa makambako pale kwenda mbeya umetulia kwingine ni tabu mtera dom hovyo tu dar dom napo hovyo dar lindi hovyoWatanzania tulio wengi tukiona barabara ya lami ni furaha, ILA kuna wengine wakiona hizi barabara zetu za lami utagundua kuwa ujenzi wake haukuzingatia usalama wa watumiaji, corners zake hazikuzingatia physics ya ujenzi wa barabara, angalia tambarare ya makambako to njombe, na tambarare ya ubungo hadi mbezi mwisho, chukua vipande vifupi na linganisha ubora wake