Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Daah kinachoniua ni Ile sound aisee Kuna Moja nilikutana nayo juzi sema nikikuwa kwenye pikipik sikutamani iniache distance kubwa niendelee kuitazama na niisogelee nyuma niskie Ile sound yake anapolikanyaga akipanda bumps.[emoji119]
Aisee LC300 ni nyepesi sana kushika kasi, kuna moja niliigumia juzi kitaa inatoka Morogoro road inaningia kondoa street jamaa akaomba kushoto aliichapa moto yani shwaaap ngoma ileee...break kwenye bumps. Sipati picha ikiwa kwenye free way.
 
Pole ila sikutegemea to cover just less than 400km kutumia masaa 10!,kweli safari yetu kama nchi ni bado, speed SIO TATIZO, barabara zetu ni duni mno
Barabara za bongo ni shida mkuu imagine ni km 447 hivi jana nimetoka Dar-Nachingwea nimetoka dar pale ubungo kwenye saa 2 na nusu asubuhi nimeingia saa 12 nachingwea km 650
 
Barabara za bongo ni shida mkuu imagine ni km 447 hivi jana nimetoka Dar-Nachingwea nimetoka dar pale ubungo kwenye saa 2 na nusu asubuhi nimeingia saa 12 nachingwea km 650
Na hili ndio tatizo ila wanasiasa wetu na vijana wa dot.com wanaingiza vichwa vyao mchanganyi, barabara zetu bado na nyingi zimejengwa bila kuzingatia utaalamu wa kiusalama, ajali nyingi zinatokea sio sababu ya speed, nyingi zinatokana na mapungufu mengi
 
Watanzania tulio wengi tukiona barabara ya lami ni furaha, ILA kuna wengine wakiona hizi barabara zetu za lami utagundua kuwa ujenzi wake haukuzingatia usalama wa watumiaji, corners zake hazikuzingatia physics ya ujenzi wa barabara, angalia tambarare ya makambako to njombe, na tambarare ya ubungo hadi mbezi mwisho, chukua vipande vifupi na linganisha ubora wake
 
Ni shida mkuu mkeka unanifurahishaga ni ule wa makambako pale kwenda mbeya umetulia kwingine ni tabu mtera dom hovyo tu dar dom napo hovyo dar lindi hovyo
 
Nimeongozana nae umbali mrefu sana nikajiuliza maswali yasio na majibu.
 
Attachments

  • IMG_0507.jpg
    IMG_0507.jpg
    756.6 KB · Views: 24
Back
Top Bottom