Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wakuu wazoefu kuna impact gani mtu akijifunza kuendesha gari halafu akakaa muda bila kuendesha gari. Nataka nijifunze lakini sina ndinga kwa sasa.
Utakuwa na mwanga wa udereva ila hutakuwa na uzoefu, na ukijifunza gari mara moja kisha ukakaa mda mrefu bila kugusa gari,unapoteza uwezo wako wa awali kwa sababu unakuwa bado hujakomaa.

Kuwa dereva kabisa wa gari unatakiwa ukae na gari japo kwa mda wa mwezi mmoja mfurulizo,yani kila siku uwe na gari japo km 50 utembee. Hapo sasa hata ukija kuacha kwa mda mrefu huwezi kupata shida mana unakuwa ni dereva,na dereva hasahau.
 
few days ago somewhere in arusha the moment after i arrived from an amazing roadtrip.

nimeambatanisha na ka-video. wakali wa location mtajiongeza wenyewe kutambua hii sehemu. have lovely friday

Hii barabara siwezi isahau asee. Tulipata pancha pale Chita ndani ya kambi ya jeshi, mjeda akasema kama hamuwezi kuliendesha hilo gari mpaka nje ya kambi basi mlikokote ila ni marufuku kulipaki humu ndani[emoji1]. Hapo pancha tairi ya mbele na nyuma upande mmoja
Poleni mno,hii kitu ndio huwa inanifanya muda mwingine nijione kuwa mimi sio mtanzania, why wanajeshi ambao walitakiwa wawalinde ninyi na wao wakaamua kuwafukuza baada ya kupata hiyo break down?,ndani ya zambia kuna road blocks zilizochini ya jeshi la zambia, hizi road blocks ndio pit stops za kulala usiku!,Botswana National Army wameshawahi kunisaidia kwa matengenezo ya gari na kuruhusiwa kulala main gate yao (walinishauri sio vema to drive at night, sababu kubwa ni animals SIO usalama wangu)why kwetu ni tofauti?
 
shida ya jamaa zetu wengi ambao wapo kwenye vyombo vyetu vya ulinzi na usalama bado wamebaki kwenye mitazamo ya kizamani(zama za analog technology).

imagine wananajeshi wa tz wanaweza wakakukamata, wakakukupa adhabu kali na kichapo juu mpaka upate ulemavu, kisa tu wakati unapita jirani na ukuta wa kambi yao, ulitoa simu yako na kujipiga selfie.

wanasahau kwa ulimwengu wa sasa wa teknolojia ya dijitali, mtu anaweza akawa mji wa Liaoning huko China, akaweza kupata picha ya satellite inayoonyesha kambi zote za jeshi la tz. kwa kutumia advanced satellite technology, picha zinaweza kuonyesha mpaka location ya artillery zote zilizopo ndani ya kambi.

pale lugalo ukiharibikiwa na gari, wanajeshi watakuja kukushurutisha mpaka utajuta kuzaliwa. uelewa wao finyu utawafanya wahisi wewe ni gaidi uliyekuja kuchunguza kambi yao.
 
shida ya jamaa zetu wengi ambao wapo kwenye vyombo vyetu vya ulinzi na usalama bado wamebaki kwenye mitazamo ya kizamani(zama za analogue technology).

imagine wananajeshi wa tz wanaweza wakakukamata wakakukupa adhabu kali na kichapo juu, kisa wakati unapita jirani na ukuta wa kambi yao, ulitoa simu yako na kujipiga selfie.

wanasahau kwa ulimwengu wa sasa wa teknolojia ya dijitali, mtu anaweza akawa mji wa liaoning huko china, akaweza kupata picha ya satellite inayoonyesha kambi zote za jeshi la tz. kwa kutumia advanced satellite technology, picha zinaweza kuonyesha location ya artillery zote zilizopo ndani ya kambi.

pale lugalo ukiharibikiwa na gari, wanajeshi watakuja kukushurutisha mpaka utajuta kuzaliwa.
Inasikitisha sana,jeshi ni letu na lipo kwa ajili yetu but tunawaona kama wapo kwa ajili ya watu wengine,Zambian Army wapo very smart, hawana matatizo kabisa kwenye check points zao,Botswana ndio super kabisa
 
shida ya jamaa zetu wengi ambao wapo kwenye vyombo vyetu vya ulinzi na usalama bado wamebaki kwenye mitazamo ya kizamani(zama za analogue technology).

imagine wananajeshi wa tz wanaweza wakakukamata wakakukupa adhabu kali na kichapo juu, kisa wakati unapita jirani na ukuta wa kambi yao, ulitoa simu yako na kujipiga selfie.

wanasahau kwa ulimwengu wa sasa wa teknolojia ya dijitali, mtu anaweza akawa mji wa liaoning huko china, akaweza kupata picha ya satellite inayoonyesha kambi zote za jeshi la tz. kwa kutumia advanced satellite technology, picha zinaweza kuonyesha location ya artillery zote zilizopo ndani ya kambi.

pale lugalo ukiharibikiwa na gari, wanajeshi watakuja kukushurutisha mpaka utajuta kuzaliwa.
Hii nchi itakuwa inatenda haki kwa wote vijana wakiamua kuikataa ccm.
Nina rafiki zangu wawili waliharibikiwa na gari eneo la jeshi hapa Arusha...usiku saa mbili walipata pancha..

Wakatoka wanajeshi wawili huko wakawaambia waliondoe hapo, watajua wao wataliondoaje hilo gari...

Moja wa wale rafiki akawa kama anajitetea afande tupeni muda tufanye utaratibu wwa kupata tairi lingine..

Waliishia kurushwa vichura na gari waliliondoa baada ya vichura...
Cha kushukuru ilikuwa ni kama km 2 hivi kufika eneo lenye huduma...jamaa wanakwambia ilibidi wasage tairi bila upepo..

Ila nikawaza, ingwkuwa ni mbunge, wangemsaidia ..
 
Tatizo ni uzuzu na uoga wa modern generation ya vijana wetu, wengi humu ni Lia lia na viajira uchwara, inakatisha tamaa kuishi ndani ya nchi hii, zambia kwenye hizi check points za jeshi/police ndio madereva tunalala bila hofu, binafsi nimeshawahi kulala ndani ya Botswana national Army camp (pandamatenga barracks, na kahawa nikapewa na gari wakanitengenezea for free, ila nilifanya name droping, Jina la President Nyerere (rip),inasikitisha mno)
 
shida ya jamaa zetu wengi ambao wapo kwenye vyombo vyetu vya ulinzi na usalama bado wamebaki kwenye mitazamo ya kizamani(zama za analog technology).

imagine wananajeshi wa tz wanaweza wakakukamata, wakakukupa adhabu kali na kichapo juu mpaka upate ulemavu, kisa tu wakati unapita jirani na ukuta wa kambi yao, ulitoa simu yako na kujipiga selfie.

wanasahau kwa ulimwengu wa sasa wa teknolojia ya dijitali, mtu anaweza akawa mji wa Liaoning huko China, akaweza kupata picha ya satellite inayoonyesha kambi zote za jeshi la tz. kwa kutumia advanced satellite technology, picha zinaweza kuonyesha mpaka location ya artillery zote zilizopo ndani ya kambi.

pale lugalo ukiharibikiwa na gari, wanajeshi watakuja kukushurutisha mpaka utajuta kuzaliwa. uelewa wao finyu utawafanya wahisi wewe ni gaidi uliyekuja kuchunguza kambi yao.
Form 4 failure ndio chimbo zao humo, angalau wenye vyeo wanauelewa na wako wachache

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi itakuwa inatenda haki kwa wote vijana wakiamua kuikataa ccm.
Nina rafiki zangu wawili waliharibikiwa na gari eneo la jeshi hapa Arusha...usiku saa mbili walipata pancha..

Wakatoka wanajeshi wawili huko wakawaambia waliondoe hapo, watajua wao wataliondoaje hilo gari...

Moja wa wale rafiki akawa kama anajitetea afande tupeni muda tufanye utaratibu wwa kupata tairi lingine..

Waliishia kurushwa vichura na gari waliliondoa baada ya vichura...
Cha kushukuru ilikuwa ni kama km 2 hivi kufika eneo lenye huduma...jamaa wanakwambia ilibidi wasage tairi bila upepo..

Ila nikawaza, ingwkuwa ni mbunge, wangemsaidia ..
Shida ya kupeleka wasioenda shule jeshini.

Reasoning ni sifuri.

Kuna wakati mtu anafanya kitu unajiuliza huyu jamaa reasoning inafanya kazi kweli?
 
Back
Top Bottom