loxodonto
Member
- Jul 7, 2022
- 72
- 132
Chuma hiyoWakuu wale wa kujitunguaView attachment 2403162
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuma hiyoWakuu wale wa kujitunguaView attachment 2403162
Yaaah mkuuChuma hiyo
Utakuwa na mwanga wa udereva ila hutakuwa na uzoefu, na ukijifunza gari mara moja kisha ukakaa mda mrefu bila kugusa gari,unapoteza uwezo wako wa awali kwa sababu unakuwa bado hujakomaa.Wakuu wazoefu kuna impact gani mtu akijifunza kuendesha gari halafu akakaa muda bila kuendesha gari. Nataka nijifunze lakini sina ndinga kwa sasa.
Kama ipi mkuu zipo nyingiWakuu naombeni code za kutosumbuliwa na askari barabarani ukiwa na ndinga kubwa ya heshima
Zozote zile mkuu yan ile kuna ishara flan unampa askari akikusimamisha anajua we mtu mzito au una special mission anakuacha bila kukusumbua especially ukiwa na gari kubwa SUVKama ipi mkuu zipo nyingi
Wakati mwingine nikipigwa mkono na nikaita MAIKI huwa kunaniokoa...Zozote zile mkuu yan ile kuna ishara flan unampa askari akikusimamisha anajua we mtu mzito au una special mission anakuacha bila kukusumbua especially ukiwa na gari kubwa SUV
Sijaelewa mkuu naomba ufafanuzi kidogoWakati mwingine nikipigwa mkono na nikaita MAIKI huwa kunaniokoa...
Kuna wengine wanaambizana tu tuko pamoja kamanda imeisha! Kwa ishara sijajuaZozote zile mkuu yan ile kuna ishara flan unampa askari akikusimamisha anajua we mtu mzito au una special mission anakuacha bila kukusumbua especially ukiwa na gari kubwa SUV
Poleni mno,hii kitu ndio huwa inanifanya muda mwingine nijione kuwa mimi sio mtanzania, why wanajeshi ambao walitakiwa wawalinde ninyi na wao wakaamua kuwafukuza baada ya kupata hiyo break down?,ndani ya zambia kuna road blocks zilizochini ya jeshi la zambia, hizi road blocks ndio pit stops za kulala usiku!,Botswana National Army wameshawahi kunisaidia kwa matengenezo ya gari na kuruhusiwa kulala main gate yao (walinishauri sio vema to drive at night, sababu kubwa ni animals SIO usalama wangu)why kwetu ni tofauti?Hii barabara siwezi isahau asee. Tulipata pancha pale Chita ndani ya kambi ya jeshi, mjeda akasema kama hamuwezi kuliendesha hilo gari mpaka nje ya kambi basi mlikokote ila ni marufuku kulipaki humu ndani[emoji1]. Hapo pancha tairi ya mbele na nyuma upande mmoja
shida ya jamaa zetu wengi ambao wapo kwenye vyombo vyetu vya ulinzi na usalama bado wamebaki kwenye mitazamo ya kizamani(zama za analog technology).Poleni mno,hii kitu ndio huwa inanifanya muda mwingine nijione kuwa mimi sio mtanzania, why wanajeshi ambao walitakiwa wawalinde ninyi na wao wakaamua kuwafukuza baada ya kupata hiyo break down?,ndani ya zambia kuna road blocks zilizochini ya jeshi la zambia, hizi road blocks ndio pit stops za kulala usiku!,Botswana National Army wameshawahi kunisaidia kwa matengenezo ya gari na kuruhusiwa kulala main gate yao (walinishauri sio vema to drive at night, sababu kubwa ni animals SIO usalama wangu)why kwetu ni tofauti?
Inasikitisha sana,jeshi ni letu na lipo kwa ajili yetu but tunawaona kama wapo kwa ajili ya watu wengine,Zambian Army wapo very smart, hawana matatizo kabisa kwenye check points zao,Botswana ndio super kabisashida ya jamaa zetu wengi ambao wapo kwenye vyombo vyetu vya ulinzi na usalama bado wamebaki kwenye mitazamo ya kizamani(zama za analogue technology).
imagine wananajeshi wa tz wanaweza wakakukamata wakakukupa adhabu kali na kichapo juu, kisa wakati unapita jirani na ukuta wa kambi yao, ulitoa simu yako na kujipiga selfie.
wanasahau kwa ulimwengu wa sasa wa teknolojia ya dijitali, mtu anaweza akawa mji wa liaoning huko china, akaweza kupata picha ya satellite inayoonyesha kambi zote za jeshi la tz. kwa kutumia advanced satellite technology, picha zinaweza kuonyesha location ya artillery zote zilizopo ndani ya kambi.
pale lugalo ukiharibikiwa na gari, wanajeshi watakuja kukushurutisha mpaka utajuta kuzaliwa.
Hii nchi itakuwa inatenda haki kwa wote vijana wakiamua kuikataa ccm.shida ya jamaa zetu wengi ambao wapo kwenye vyombo vyetu vya ulinzi na usalama bado wamebaki kwenye mitazamo ya kizamani(zama za analogue technology).
imagine wananajeshi wa tz wanaweza wakakukamata wakakukupa adhabu kali na kichapo juu, kisa wakati unapita jirani na ukuta wa kambi yao, ulitoa simu yako na kujipiga selfie.
wanasahau kwa ulimwengu wa sasa wa teknolojia ya dijitali, mtu anaweza akawa mji wa liaoning huko china, akaweza kupata picha ya satellite inayoonyesha kambi zote za jeshi la tz. kwa kutumia advanced satellite technology, picha zinaweza kuonyesha location ya artillery zote zilizopo ndani ya kambi.
pale lugalo ukiharibikiwa na gari, wanajeshi watakuja kukushurutisha mpaka utajuta kuzaliwa.
Tatizo ni uzuzu na uoga wa modern generation ya vijana wetu, wengi humu ni Lia lia na viajira uchwara, inakatisha tamaa kuishi ndani ya nchi hii, zambia kwenye hizi check points za jeshi/police ndio madereva tunalala bila hofu, binafsi nimeshawahi kulala ndani ya Botswana national Army camp (pandamatenga barracks, na kahawa nikapewa na gari wakanitengenezea for free, ila nilifanya name droping, Jina la President Nyerere (rip),inasikitisha mno)Hii nchi itakuwa inatenda haki kwa wote vijana wakiamua kuikataa ccm.
Nina rafiki zangu wawili waliharibikiwa na gari eneo la jeshi hapa Arusha...usiku saa mbili walipata pancha..
Wakatoka wanajeshi wawili huko wakawaambia waliondoe hapo, watajua wao wataliondoaje hilo gari...
Moja wa wale rafiki akawa kama anajitetea afande tupeni muda tufanye utaratibu wwa kupata tairi lingine..
Waliishia kurushwa vichura na gari waliliondoa baada ya vichura...
Cha kushukuru ilikuwa ni kama km 2 hivi kufika eneo lenye huduma...jamaa wanakwambia ilibidi wasage tairi bila upepo..
Ila nikawaza, ingwkuwa ni mbunge, wangemsaidia ..
Shukran mkuuKuna wengine wanaambizana tu tuko pamoja kamanda imeisha! Kwa ishara sijajua
Form 4 failure ndio chimbo zao humo, angalau wenye vyeo wanauelewa na wako wachacheshida ya jamaa zetu wengi ambao wapo kwenye vyombo vyetu vya ulinzi na usalama bado wamebaki kwenye mitazamo ya kizamani(zama za analog technology).
imagine wananajeshi wa tz wanaweza wakakukamata, wakakukupa adhabu kali na kichapo juu mpaka upate ulemavu, kisa tu wakati unapita jirani na ukuta wa kambi yao, ulitoa simu yako na kujipiga selfie.
wanasahau kwa ulimwengu wa sasa wa teknolojia ya dijitali, mtu anaweza akawa mji wa Liaoning huko China, akaweza kupata picha ya satellite inayoonyesha kambi zote za jeshi la tz. kwa kutumia advanced satellite technology, picha zinaweza kuonyesha mpaka location ya artillery zote zilizopo ndani ya kambi.
pale lugalo ukiharibikiwa na gari, wanajeshi watakuja kukushurutisha mpaka utajuta kuzaliwa. uelewa wao finyu utawafanya wahisi wewe ni gaidi uliyekuja kuchunguza kambi yao.
Shida ya kupeleka wasioenda shule jeshini.Hii nchi itakuwa inatenda haki kwa wote vijana wakiamua kuikataa ccm.
Nina rafiki zangu wawili waliharibikiwa na gari eneo la jeshi hapa Arusha...usiku saa mbili walipata pancha..
Wakatoka wanajeshi wawili huko wakawaambia waliondoe hapo, watajua wao wataliondoaje hilo gari...
Moja wa wale rafiki akawa kama anajitetea afande tupeni muda tufanye utaratibu wwa kupata tairi lingine..
Waliishia kurushwa vichura na gari waliliondoa baada ya vichura...
Cha kushukuru ilikuwa ni kama km 2 hivi kufika eneo lenye huduma...jamaa wanakwambia ilibidi wasage tairi bila upepo..
Ila nikawaza, ingwkuwa ni mbunge, wangemsaidia ..
Masasi iko Mtwara mkuu kwahiyo Napo imepakanyagaNimechora O kusini mwa nchi. 2300km trip iliyokuwa na vituo vya site kadha wa kadha. Mungu ni mwema.
View attachment 2399853
Mikoa pekee ambayo hii Fuga haijawahi kukanyaga sasa ni Mtwara, Songwe, Rukwa, Katavi, Kigoma na Kagera.