ozigizaga
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 701
- 1,703
utakuwa road ipi mkuu??Hiyo J5 tukikutana njiani pls give a big hoot, tumo wengi kwenye road trip kipindi hiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utakuwa road ipi mkuu??Hiyo J5 tukikutana njiani pls give a big hoot, tumo wengi kwenye road trip kipindi hiki
mkuu,ni bora upite tu Makambako ndio njia rahisi kwako kwa kwenda Kyela.So nikiwa mbaba bay afu sitak kupitia makambako nipite road ipi..?? Wakat wa kurud..??
Chief hapo mwisho ulipotia msisitizo mpk mwili umesisimukaaamkuu,ni bora upite tu Makambako ndio njia rahisi kwako kwa kwenda Kyela.
kama kweli umekusudia ilimradi njia ya kukufikiaha Kyela,bhas ukifika Njombe ulizia barabara inayoenda Hospitali ya Ikonda,then kula hilo border(ni barabara ya hovyo sana japo mangalangala ya Japannese hupita humo) hii barabara hutokezea nafikiri ni kabla ya Tukuyu then nenda huko Kyela.
ila niamini mimi,kama utapita njia hii ndo itakuwa mara yako ya kwanza na ya mwisho kiufupi utajuta kuzaliwa
kiufupi utajuta mkuuChief hapo mwisho ulipotia msisitizo mpk mwili umesisimukaaa
Msizisahau Kona za kolo. Ziliongozana ajali pale mpaka wameitwa wataalam wafanye utafiti upya. Mara chache utasikia ajali za nyan'goro lakini kolo ni kila kukichaDriving sio speed pekee, usalama wako na wengine ni key factor, Umeonywa kuhusu Makambako to Songea, ni kweli kuna Lukumburu Pass, ni balaa tupu na Dodoma to Iringa kuna nyang'olo Pass, ni kuwa safe mkuu
Atajuta kuzalia loh hahahamkuu,ni bora upite tu Makambako ndio njia rahisi kwako kwa kwenda Kyela.
kama kweli umekusudia ilimradi njia ya kukufikiaha Kyela,bhas ukifika Njombe ulizia barabara inayoenda Hospitali ya Ikonda,then kula hilo border(ni barabara ya hovyo sana japo mangalangala ya Japannese hupita humo) hii barabara hutokezea nafikiri ni kabla ya Tukuyu then nenda huko Kyela.
ila niamini mimi,kama utapita njia hii ndo itakuwa mara yako ya kwanza na ya mwisho kiufupi utajuta kuzaliwa
Pole na hongera.Nimeungia home muda huu,
Jumatano nili drive DAR to NAI via Arusha na Namanga.
Niliondoka sa6 usiku, Nilifika Nairobi sa8 mchana kesho yake.
Safari nimejifunza mengi
Kusafiri na gari nje ya nchi,
Barabara za Nairobi, japo kwa uchache.
Uchovu ninao mkali sana, tuliondoka Nairobi jana sa6 kama kawa, nimeingia DAR Sa8.
Tulikuwa tunasaidiana wawili kuendesha,
Was nice trip but short of time.
Hapana mkuu cha msingi chukua tahadhari Kvaaaa usiipe kipaumbele ila utafika fresh mazeeWakuu mbona mnanitishaa aiseee.. na hii gari tako la nyani... mtasababisha niwe naendesha na pressure...
Anyway huwa Kvaaaaaa inanipa comfort sana....
unatokea Isyonje hiyo, ila huko atazunguka sanamkuu,ni bora upite tu Makambako ndio njia rahisi kwako kwa kwenda Kyela.
kama kweli umekusudia ilimradi njia ya kukufikiaha Kyela,bhas ukifika Njombe ulizia barabara inayoenda Hospitali ya Ikonda,then kula hilo border(ni barabara ya hovyo sana japo mangalangala ya Japannese hupita humo) hii barabara hutokezea nafikiri ni kabla ya Tukuyu then nenda huko Kyela.
ila niamini mimi,kama utapita njia hii ndo itakuwa mara yako ya kwanza na ya mwisho kiufupi utajuta kuzaliwa
njombe, makete, kitulo, igoma to Isyonje lazima ujute hasa kipindi hiki cha mvua... show ni kama hiziunatokea Isyonje hiyo, ila huko atazunguka sana
Anapewa tahadhari mkuu, sema nini Harrier ni gari nzuri kimuonekano ila likitokea la kutokea ni Mungu aingilie kati.Duh mnamtisha na yeye Ana Harrier
kitakachomkuta ni laananjombe, makete, kitulo, igoma to Isyonje lazima ujute hasa kipindi hiki cha mvua... show ni kama hiziView attachment 2451179
Kwamba mtu hawezi kaa hata masaa machache bila kujilipua na kvant?Tako la nyani safari za mbali huwa n gari moja zuri sana... long trip... inateleza tu... afu pemben umeweka Kvaaaaaa safari n tamu mnoooo aiseee...
Sio lazima ukimbize.Wakuu mbona mnanitishaa aiseee.. na hii gari tako la nyani... mtasababisha niwe naendesha na pressure...
Anyway huwa Kvaaaaaa inanipa comfort sana....
Hahah Kwa Hali hiyo ndo uko na tako la nyani lazima ujute kuzaliwanjombe, makete, kitulo, igoma to Isyonje lazima ujute hasa kipindi hiki cha mvua... show ni kama hiziView attachment 2451179
Mnacomment page ya LATRANa Sisi wa kukalia ndoo tunacomment humu?
View attachment 2451452
T1 mkuu ila ni mbeya to Darutakuwa road ipi mkuu??