Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohoo. Mbona kama unatutishaBasi zimeshaleta vimbwanga Morogoro. Overtake / fujo za madereva wa mabasi ni janga la kitaifa.
Mkuu usiseme ni ajali!
Dah tuwape pole majeruhi ila hawa madereva wanaohisi barabara ni za kwao.
Bila kuweka sheria kali kwa madereva watatumaliza.Dah tuwape pole majeruhi ila hawa madereva wanaohisi barabara ni za kwao.
maoni yangu ni hukumu kali ikiwemo faini kubwa, kifungo na hata kufungiwa LESENI zao.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa hii nchi ya kitu kidogo? Ngumu...Dah tuwape pole majeruhi ila hawa madereva wanaohisi barabara ni za kwao.
maoni yangu ni hukumu kali ikiwemo faini kubwa, kifungo na hata kufungiwa LESENI zao.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Dah inasikitisha aiseBila kuweka sheria kali kwa madereva watatumaliza.
Hao siku hizi hawana ubavu maana hawazidi 100kh. Wanakuachia njia wenyewe 😀😀Kula nyama hio
Mnatuonea sana wadada. Mbona sisi wengine tunapeleka gari service!Wanawake ndo wanaongoza kukaanga engine wao ni kuwasha na kuendesha tu ndo wanachojua
Wacha žile ukifika serenje unapumua sio kwa žile shimoWelldone mkuu, kama umepita zile handaki kati ya mpika na Chinsali, salute mkuu
Labda ndio nyumbaniZambia imekutoa pangoni. Ni nini kinachokuficha?
Gari gani inakaanga engine karne hizi? Gari zote za kisasa ikikosa oil/maji inajizima, haisubiri mpaka engine iungue.Wanawake ndo wanaongoza kukaanga engine wao ni kuwasha na kuendesha tu ndo wanachojua
Active barabaraniFaida gani unapata kufuatana na hizo IT.
Zile sio shimo mkuu ni mahandaki balaaWacha žile ukifika serenje unapumua sio kwa žile shimo
Haitoshi kumuachia tu fundi afanye service hasa kama gari yako ina 'uspesho' flani. Watakuulia gari.Mnatuonea sana wadada. Mbona sisi wengine tunapeleka gari service!
Truck ya mchina unyama sanaActive barabarani
Zile sio shimo mkuu ni mahandaki balaa