Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

TDi [emoji1373][emoji1377]
Yap yap
Screenshot_20230305_182936_Gallery.jpg
 
TANZIA: Mkuu wa Jeshi la Polisi. IGP Camillus M. Wambura anasikitika kutangaza kifo cha Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Ndwanga Datistan Nsagaje na Konstebo Emmiliana Charles wa Wilaya ya Kipolisi Chalinze vilivyotokea kwa ajali ya gari eneo la Mavi ya Ng'ombe Kijiji cha Mboga, Kata…
20230308_051951.jpg
 
TANZIA: Mkuu wa Jeshi la Polisi. IGP Camillus M. Wambura anasikitika kutangaza kifo cha Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Ndwanga Datistan Nsagaje na Konstebo Emmiliana Charles wa Wilaya ya Kipolisi Chalinze vilivyotokea kwa ajali ya gari eneo la Mavi ya Ng'ombe Kijiji cha Mboga, Kata…View attachment 2541211
Hawa ndio wale walikuwa kwenye GX100 Cresta?
 
Mwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi, marefu na ya Kati. Mwaka huu napiga mikoa ya kaskazini Tanga, Kili na Arusha. Je mwenzangu road trips zako wapi?

Raha ya road trip inabidi uwe na
1. Kampani nzuri (pisi Kali itapendeza)
2. Gari yenye uwezo.
3. Mfuko uwe na afya kidogo

All in all drive safe and take care
mng'ato
Boeing 747
View attachment 1652044
Mkuu Rrondo unasukuma chuma gani (ndinga)
 
Back
Top Bottom