ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Heri yako. Ni kero tupuPole sana. Kuna watu waliniburuza kwenda huko nilivyofika njia ya kuingia huko nilivyoona lile vumbi na foleni nikawaambia waende tu narudi kulala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heri yako. Ni kero tupuPole sana. Kuna watu waliniburuza kwenda huko nilivyofika njia ya kuingia huko nilivyoona lile vumbi na foleni nikawaambia waende tu narudi kulala.
Kweli mkuu.Inabidi uwe makini mara mbili. Vicheche na wanaosinzia wengi sana.
Kama upo njema tafta oil za Liqui Molly fully synthetic zile.Mkuu naomba nikuulize Swali ?
Crown hasa hizi used ya bongo ikinunuliwa kwa mtu na ikiwa ina hali nzuri kwa milioni 11 hivi kwenye service nikatupe vitu gani haswa na oil ipi nzuri ya kuifaa kwanzia engine oil, gearbox oil?
Mkifika mtakuwa na gari ya kutumia huko?Mwezi ujao mwishoni tunaenda Dodoma Marathon. SGR imefanya tusitumie magari route hio.
In terms of cost, it would be cheaper mngeendesha. Taxi zitawapiga. In terms of convenience, nothing beats private.Taxi zitahusika.
Boss. Fuel cost ni mara mbili ya treni. Taxi,bajaj haiwezi kuwa ghali kwasbabu hatuzuruli hovyo.In terms of cost, it would be cheaper mngeendesha. Taxi zitawapiga. In terms of convenience, nothing beats private.
In terms of experience then S.G.R may offer more. Masaa mangapi typical transit times Dar mpak Dom?
ISO M.CodD msikie jamaa anasema anapenda kutumia treni kwasababu anatembea 100mph or 160kph huku amelala
Hio treni ya 160kph sindio ile ya 120,000?ISO M.CodD msikie jamaa anasema anapenda kutumia treni kwasababu anatembea 100mph or 160kph huku amelala
Price ya ticket ya treni ni kiasi gani per person go & return? Ukigawa fuel cost for the same per person inazidi ticket price? What about transport cost from residence to station e.t.cBoss. Fuel cost ni mara mbili ya treni. Taxi,bajaj haiwezi kuwa ghali kwasbabu hatuzuruli hovyo.
Abiria wangu halipi if you know what i meanPrice ya ticket ya treni ni kiasi gani per person go & return? Ukigawa fuel cost for the same per person inazidi ticket price? What about transport cost from residence to station e.t.c
imekaa poa hioYeah 70,000 100,000 120,000
Nimeshuhudia abiria wangu wakiwa wamelala unono huku nikiwa 180kph. Na amelalamika mbanano humo kwenye treni.ISO M.CodD msikie jamaa anasema anapenda kutumia treni kwasababu anatembea 100mph or 160kph huku amelala
Inatoboa Dodoma masaa mangapi? Si ajabu hiyo top speed yake ikawa offset na idadi ya vituo inavyosimama simama ikawa ni sawa na kudriveHio treni ya 160kph sindio ile ya 120,000?
Bila shaka ni cheaper kuendesha. Bila shaka.Yeah 70,000 100,000 120,000