BrainOs
Senior Member
- Sep 9, 2024
- 173
- 292
Hii ndio ilikuwa na jeuri ya kusumbuana na range rover v8 vintageNi 200 km/h
Kwa miaka ile nadhani ilikuwa ni haina mpinzani, hio miaka gari nyingi zilikuwa 80 km/h au 120km/h kama sikosei.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndio ilikuwa na jeuri ya kusumbuana na range rover v8 vintageNi 200 km/h
Kwa miaka ile nadhani ilikuwa ni haina mpinzani, hio miaka gari nyingi zilikuwa 80 km/h au 120km/h kama sikosei.
Mzee mwenzangu, mwisho wa mwaka ndio huu...road trip za mapumziko ya mwisho wa mwaka zinajongea...karibu maeneo yalee😂Hii road trip from Dar?
Wewe ni muha?We ni muhaya?
Unajua saana kukoleza moto...eww mmmnyema🤣Wuuuhuuuuuuu njooo fastaaaa.
Ila ujue wewe ndo utakuwa time keeper ukiacha mimi niwe time keeper, yaani niamue tutakaa huko hadi lini na siku gani ndo ya kuteremka kuelekea kaskazini ya mbali..... jiandae mwaka mpya utatukuta hukohuko Germany Air 😜.
Hio bonge ya road tripNdio brother. Kuanzia Mzizima to Mutukula alafu jmos Narudi mpaka Tabora. Ila % Kubwa ya safari ni kwa njia za ndani ndani lami ni Maeoneo machache. Kwa mfano Dar to dom nimepita handeni nimetokea kilindi, kiteto, kondoa, seria, hanang mpaka Singida mjini.. mwendo ni 80km/h .
Jaribu na nyanda za juu kusini upate ladha tofauti, wana view point za maana sanaSijafika hayo maeneo kama miaka mitatu hivi
Hiyo Handeni to Singida, umepitia Wilaya ya Chemba?Ndio brother. Kuanzia Mzizima to Mutukula alafu jmos Narudi mpaka Tabora. Ila % Kubwa ya safari ni kwa njia za ndani ndani lami ni Maeoneo machache. Kwa mfano Dar to dom nimepita handeni nimetokea kilindi, kiteto, kondoa, seria, hanang mpaka Singida mjini.. mwendo ni 80km/h .
Sijahamia mkuu bali nipo mara nyingi hukoDuh umehamia huko? Ile view naitamani sana. Nitafika tu siku moja
Kuna ile ya 2 doors na 5 doors engine ni v8 ikiwa na straight pipe inapumua si mchezoIle Range Rover ilikuwa na version ya 2 doors
Hapana nimepita kondoa mjini nimetokea mto Bubu, seria, katesh nakuendelea. Kwa mtoro kwenye ile game reserve ya swagaswaga kuna mbung’o sana. Ukifungua tu kioo imekula kwako. Alafu barabara ina mawe makubwa sana huko kwenye game.Hiyo Handeni to Singida, umepitia Wilaya ya Chemba?
Ukaunganisha kwa mtoro?
Unajua saana kukoleza moto...eww mmmnyema🤣
Wewe ni mtu na nusu, huwa unanikosha kwa ucheshi wako.Alooh, nimeona umeibua post za tangu 2020 hukoo aahahahahhaa looh😅😅😅.
Yaani kuna muda najitahidi kuwa mpoleee, mkimyaaa, mtulivuuu ila nikitoka hapo nakuwa kama dormant volcano 🌋, nalipuka mahaba motooo yale ambayo nilijibana...🤪🤪🤪.
Saa ingine nakuwa mpolee tuu kukubaliana na huyu Kasinde wa ndani maana huwa anabubujika madikodiko ya uwanja wa fundi seremala hadi huwa najiuliza, kajifunzia wapii....!! Mbona hata mimi Kasinde mwenyewe siyajui hayo mahaba...!!!??😜😜.
Well, cheers.
Thanks for bringing the memory back, way back 2020.
Ndo maana huws sipendi kutukanana na watu ama kuzozana kusikokuwa na kichwa wala miguu, maana miaka kadhaa mbele ukijaletewa post yako unaweza kimbia kivuli...
Ila kwenye mahaba aaaahh....😅😅😅.
Oooh sawa, mto bubu huwa ni hatari sana wakati wa masika, magari huishia kila upande na watu kuvushwa mgongoni...je deraja limejengwa?Hapana nimepita kondoa mjini nimetokea mto Bubu, seria, katesh nakuendelea. Kwa mtoro kwenye ile game reserve ya swagaswaga kuna mbung’o sana. Ukifungua tu kioo imekula kwako. Alafu barabara ina mawe makubwa sana huko kwenye game.
Lushoto vipi msimu huu?Alooh, nimeona umeibua post za tangu 2020 hukoo aahahahahhaa looh😅😅😅.