Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wuuuhuuuuuuu njooo fastaaaa.

Ila ujue wewe ndo utakuwa time keeper ukiacha mimi niwe time keeper, yaani niamue tutakaa huko hadi lini na siku gani ndo ya kuteremka kuelekea kaskazini ya mbali..... jiandae mwaka mpya utatukuta hukohuko Germany Air 😜.
Unajua saana kukoleza moto...eww mmmnyema🤣
 
Ndio brother. Kuanzia Mzizima to Mutukula alafu jmos Narudi mpaka Tabora. Ila % Kubwa ya safari ni kwa njia za ndani ndani lami ni Maeoneo machache. Kwa mfano Dar to dom nimepita handeni nimetokea kilindi, kiteto, kondoa, seria, hanang mpaka Singida mjini.. mwendo ni 80km/h .
 
Hio bonge ya road trip
 
Mzee mwenzangu, mwisho wa mwaka ndio huu...road trip za mapumziko ya mwisho wa mwaka zinajongea...karibu maeneo yalee😂
Sijafika hayo maeneo kama miaka mitatu hivi
 
Ndio brother. Kuanzia Mzizima to Mutukula alafu jmos Narudi mpaka Tabora. Ila % Kubwa ya safari ni kwa njia za ndani ndani lami ni Maeoneo machache. Kwa mfano Dar to dom nimepita handeni nimetokea kilindi, kiteto, kondoa, seria, hanang mpaka Singida mjini.. mwendo ni 80km/h .
Hiyo Handeni to Singida, umepitia Wilaya ya Chemba?
Ukaunganisha kwa mtoro?
 
Unajua saana kukoleza moto...eww mmmnyema🤣

Alooh, nimeona umeibua post za tangu 2020 hukoo aahahahahhaa looh😅😅😅.

Yaani kuna muda najitahidi kuwa mpoleee, mkimyaaa, mtulivuuu ila nikitoka hapo nakuwa kama dormant volcano 🌋, nalipuka mahaba motooo yale ambayo nilijibana...🤪🤪🤪.

Saa ingine nakuwa mpolee tuu kukubaliana na huyu Kasinde wa ndani maana huwa anabubujika madikodiko ya uwanja wa fundi seremala hadi huwa najiuliza, kajifunzia wapii....!! Mbona hata mimi Kasinde mwenyewe siyajui hayo mahaba...!!!??😜😜.

Well, cheers.

Thanks for bringing the memory back, way back 2020.

Ndo maana huws sipendi kutukanana na watu ama kuzozana kusikokuwa na kichwa wala miguu, maana miaka kadhaa mbele ukijaletewa post yako unaweza kimbia kivuli...
Ila kwenye mahaba aaaahh....😅😅😅.
 
Wewe ni mtu na nusu, huwa unanikosha kwa ucheshi wako.

Saa nyingine mtu anaugusa moyo tu kwa mwandiko🤣🤣

Wewe ni mtu wa maana sana, Mungu akutunze huko uliko mamy
 
Hapana nimepita kondoa mjini nimetokea mto Bubu, seria, katesh nakuendelea. Kwa mtoro kwenye ile game reserve ya swagaswaga kuna mbung’o sana. Ukifungua tu kioo imekula kwako. Alafu barabara ina mawe makubwa sana huko kwenye game.
Oooh sawa, mto bubu huwa ni hatari sana wakati wa masika, magari huishia kila upande na watu kuvushwa mgongoni...je deraja limejengwa?
 
Alooh, nimeona umeibua post za tangu 2020 hukoo aahahahahhaa looh😅😅😅.

Yaani kuna muda najitahidi kuwa mpoleee, mkimyaaa, mtulivuuu ila nikitoka hapo nakuwa kama dormant volcano 🌋, nalipuka mahaba motooo yale ambayo nilijibana...🤪🤪🤪.

Saa ingine nakuwa mpolee tuu kukubaliana na huyu Kasinde wa ndani maana huwa anabubujika madikodiko ya uwanja wa fundi seremala hadi huwa najiuliza, kajifunzia wapii....!! Mbona hata mimi Kasinde mwenyewe siyajui hayo mahaba...!!!??😜😜.

Well, cheers.

Thanks for bringing the memory back, way back 2020.

Ndo maana huws sipendi kutukanana na watu ama kuzozana kusikokuwa na kichwa wala miguu, maana miaka kadhaa mbele ukijaletewa post yako unaweza kimbia kivuli...
Ila kwenye mahaba aaaahh....😅😅😅.
Lushoto vipi msimu huu?
 
Back
Top Bottom