Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu humu ni rafiki yangu sana na mtu mwema anaenda sana kwa shughuli zake huko.Hii ipo lwenye ratiba muda mrefu sema jambo mkishapanga Wabongo wengi kufanikiwa ni ngumu sana.
Unatamani kumsusia gari aendeshe yeye tuone kama angevumiliaHalafu yule mjinga anakuwa kabana pale juu kwenye kona, anakuona wewe humuoni
Ukifika Nzega piga kulia nenda Tabora - Manyoni - Dodoma then endelea na safari yako.Leo jioni nitakuwa way na Mercedes benz b200(turbo).
BUKOBA-KAHAMA-TINDE-SINGIDA-DODOMA-IRINGA-MAFINGA-MAKAMBAKO-NJOMBE na kituo ni BOMBAMBILI (SONGEA).
Aisee hata hukubeba mhamasishaji kama Kasie matata?
Bataringaya Jr kasema anataka car seat sasa. Plus hela yake ya shoppping tu and he's gonna be a good boy!Baba Bataringaya mambo!!!
Nimekumithiiii...😍.
Yaani najua sijarudi Nov kutoa mrejesho wa trip ya Lushoto, mambo mengii na hekaheka kibao za kuzuia zinazoingia zijae zisitoke kwa wingi eehehehe aka creating wealth..😅.
Mwaka unaisha halafu huku nilipo sioni kama naweza piga trip yoyote, labda end of year 2025. Saa hii nimewekwa kwenye kona nashindwa kufurukuta.
But all is well, the festive season is on already, let's celebrate, enjoy every moment no matter what.
Look what you have on hand and be thankful for that with your loved one's 😍.
It's a blessing be thankful 😊.
Halafu nimepata kiu ya mabungo na sanvita ghafla....!!! Siku tupange twende tukapige tour kuanzia Muhimbili Primary School halafu tunatoka kukatiza mitaa ya upanga halafu tunamalizia kula mishkaki ya nundu pale PCCB. Ukiibariki hiyo tuifanye anytime mwakani 😊.
My hugs and kisses to Bataringaya Jr.
Kasinde Matata 😉.
Hiyo ni nzuri sanaRoad trip huwa napiga na watu wangu fulani, only with them or alone.
Bataringaya Jr kasema anataka car seat sasa. Plus hela yake ya shoppping tu and he's gonna be a good boy!
Duh hicho cha kishua kinamfaa kabisaView attachment 3174732
Hiki kitamfaa Bataringaya?
Chap kwa haraka shangazi afanye makeke...🤩. Let father Christmas come early for him 😍.
Nenda na VerissaWakuu kwema?
Nataka kujua kati ya gari nzuri ya kununua kati ya mazda verisa au subaru impreza new model.
Bwawani hiyoHapo uko Bwawani au Ubena Zomozi?