Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hii ipo lwenye ratiba muda mrefu sema jambo mkishapanga Wabongo wengi kufanikiwa ni ngumu sana.
Kuna mtu humu ni rafiki yangu sana na mtu mwema anaenda sana kwa shughuli zake huko.
Najua mkikutana mtayajenga na utatimiza kirabisi sana.
 
Leo jioni nitakuwa way na Mercedes benz b200(turbo).
BUKOBA-KAHAMA-TINDE-SINGIDA-DODOMA-IRINGA-MAFINGA-MAKAMBAKO-NJOMBE na kituo ni BOMBAMBILI (SONGEA).
Ukifika Nzega piga kulia nenda Tabora - Manyoni - Dodoma then endelea na safari yako.

Utakwepa vurugu nyingi, mikono mingi na barabara mbovu.
 
Aisee hata hukubeba mhamasishaji kama Kasie matata?

Baba Bataringaya mambo!!!

Nimekumithiiii...😍.

Yaani najua sijarudi Nov kutoa mrejesho wa trip ya Lushoto, mambo mengii na hekaheka kibao za kuzuia zinazoingia zijae zisitoke kwa wingi eehehehe aka creating wealth..😅.

Mwaka unaisha halafu huku nilipo sioni kama naweza piga trip yoyote, labda end of year 2025. Saa hii nimewekwa kwenye kona nashindwa kufurukuta.

But all is well, the festive season is on already, let's celebrate, enjoy every moment no matter what.
Look what you have on hand and be thankful for that with your loved one's 😍.

It's a blessing be thankful 😊.

Halafu nimepata kiu ya mabungo na sanvita ghafla....!!! Siku tupange twende tukapige tour kuanzia Muhimbili Primary School halafu tunatoka kukatiza mitaa ya upanga halafu tunamalizia kula mishkaki ya nundu pale PCCB. Ukiibariki hiyo tuifanye anytime mwakani 😊.

My hugs and kisses to Bataringaya Jr.

Kasinde Matata 😉.
 
Bataringaya Jr kasema anataka car seat sasa. Plus hela yake ya shoppping tu and he's gonna be a good boy!
 
Hiki kitamfaa Bataringaya?
Chap kwa haraka shangazi afanye makeke...🤩. Let father Christmas come early for him 😍.
 
PXL_20241208_125322109.PORTRAIT~2.jpg
 
Back
Top Bottom