Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
- Thread starter
- #21
😆😆Nadhani Toka tupate uhuru hiki ndo kipigo kilichowauma Simba Cha all time
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆Nadhani Toka tupate uhuru hiki ndo kipigo kilichowauma Simba Cha all time
Na bado hadi waseme.😆😆
Kabisa wamechanganyikiwa na aibu juuNadhani Toka tupate uhuru hiki ndo kipigo kilichowauma Simba Cha all time

Kimoja kimewauma kuliko vitano🤣🤣🤣🤣🤣.Nadhani Toka tupate uhuru hiki ndo kipigo kilichowauma Simba Cha all time
Wamesahau kipindi cha Bashite,Ndugai na JiweWazee waache hayo mambo, mawaziri na wambunge kukutana kwa ajili ya ushindi wa hizi timu zao pendwa ni kawaida, am sure hata wa Simba lazima walikuwa na vikao.
Kipigo cha bao 1-0 kwenye derby ya Kariakoo kimewaibua Wazee wa klabu ya Simba, ambao sasa wametoa siku saba kwa mawaziri ambao wanawashutuma kwa kile wanachodai kuwa ni hujuma dhidi ya klabu yao. Wazee hao wanadai kuwa baadhi ya viongozi wa Serikali, TFF, GSM na Yanga walihusika katika mpango wa kuihujumu Simba kwenye mchezo wa Oktoba 19 ambao umezua gumzo.
Kwa mujibu wa madai yao, kikao cha siri kilifanyika usiku wa manane, saa tisa, kikiwahusisha mawaziri sita pamoja na mwamuzi wa mchezo huo, Ramadhan Kayoko. Wazee wa Simba wanasema kuwa lengo la kikao hicho lilikuwa kuhakikisha timu ya Wananchi, Yanga, inashinda mechi hiyo kwa kuwa ni timu inayoungwa mkono na Serikali.
Soma Pia: FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024
Katika hatua hiyo, Wazee wa Simba wamewataka mawaziri hao kutoa ufafanuzi ndani ya siku saba, wakisisitiza kuwa hujuma hizi zinaathiri ushindani wa haki katika soka la Tanzania.